Nyumba inauzwa sinza kwa remi

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
Sifa.
1. Iko hatua chache toka barabara kuu shekilango road(200metre)
2. Kubwa na ina mabanda ya uani
3.inafaa kwa biashara yoyote
4.ina eneo la uani la kutosha
bei 140mil pia kuna maelewano
contacts
0655562132
0714812375
 
Kumbe wewe ni dalali! Nimekuona sehemu nyingine unauza shamba liko madale, afu kwenye uzi mwengine unauza simu.

vipi wewe una per cent ngapi ktk hizo bei?
 
Kumbe wewe ni dalali! Nimekuona sehemu nyingine unauza shamba liko madale, afu kwenye uzi mwengine unauza simu.

vipi wewe una per cent ngapi ktk hizo bei?

Huwezi kumuuliza swali kama hilo sio heshima,ni sawa na kumuuliza mtu mshahara wake kitu ambacho ni faragha.Angalau anajitafutia riziki yake kwanjia yake mwenyewe kuliko kuishia kuomba au kuiba.Hii ndio TZ bwana ajira ndio kama unavoziona hakuna ila kuchacharika.
 
Kumbe wewe ni dalali! Nimekuona sehemu nyingine unauza shamba liko madale, afu kwenye uzi mwengine unauza simu.

vipi wewe una per cent ngapi ktk hizo bei?

Vinaweza kua ni vya kwake mkuu.
Mfano mimi nikitokea kwenye hili jukwaa basi nauza Gari, na nishatokea kama mara tano kwenye gari, and yote ya kwangu.
 
Kumbe wewe ni dalali! Nimekuona sehemu nyingine unauza shamba liko madale, afu kwenye uzi mwengine unauza simu.

vipi wewe una per cent ngapi ktk hizo bei?

Kwani ukiwa dalala ni zambi mkuu?Au madalali wamekatazwa humu?Mimi nawaheshimu sana madalali manake nyumba na viwanja vyangu vyote nilivyonunua nilipata kupitia kwao,kwa hiyo sioni ubaya wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom