Nyumba inauzwa sinza karibu na lion hotel

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
HAYA TENA WANA JF KUNA NYUMBA INAUZWA SINZA KARIBU NA LION HOTEL IMEPAKANA NA BARABARA YA KWENDA KWA MWAIBULA. NI MAKAZI YA MTU, NA INA ENEO KUBWA PAMOJA NA MABANDA YA UWANI. INAFAA KWA LODGE AU KWA BIASHARA YOYOTE ILE. BEI INAANZIA 130MIL ILA KUNA MAELEWANO.

KWA MAWASILIANO ZAIDI JUST CALL THESE NO
0714812375
0784562131 for more info...

Hata Tandale siku hizi inaitwa Sinza...

Hiyo Bei ni ya kiwanja au matofari? including mabati yaliyooza!

Similar Discussions

Back
Top Bottom