Nyumba inauzwa poa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Ipo Tabata kinyerezi. Ina vyumba vinne vya kulala mpya ya kisasa. Bei tshs 130mil. Fixed price.
0717114409
 
Attachments

  • IMG_0052.JPG
    IMG_0052.JPG
    38 KB · Views: 329
Duu nimeikubali halafu inaonekana kuna eneo kubwa mbele!jee kiwanja kina hati?
 
Ipo Tabata kinyerezi. Ina vyumba vinne vya kulala mpya ya kisasa. Bei tshs 130mil. Fixed price.
0717114409
Du nakula kwa macho hicho kiwanja we acha tu huu ulofa ,ngoja namimi niji position kwa wavua gamba huenda naweza kupata makandokando ya kununulia hicho kibungaloo
 
unaweza kuweka inside plan yake??? ni open house au closed??? yaani living room, kitchen and dining??? toa basi maelezo kidogo - ili tujue au kupata idea ndani kukoje??? Tiled floor or cement or wall to wall carpeted - fittings - wardrobes, kitchen cabinets??? au iko tu plain - paint ya ndani - colours etc. au unanunua halafu unafanya finishing???? samahani kama nitakuwa nimekusumbua -

otherwise am interested after getting the details ...................
 
Well said, kwa anayefahamu ghalama za ujenzi atazingatia sana hilo kwasababu thamani ya nyuma haiishii kwenye uwanja mkubwa tuu hata kama Tiled floor ni kwa Tiles zipi kwasababu unaweza ukainunua then ukalazimika kufumua tiles ili uweke tiles au kubomoa milango na madirisha ili uweke milango na madirisha. Muhimu ni ku-visit sight.
 
NYUMBA INAUZWA IPO SINZA KIJIWENI =DAR ES SALAAM barabara ya Shekilango pia kuna fremu za biashara katika nyumba hiyo hiyo ! BEI MILIONI MIA NNE TU (Maongezi yapo) Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom