House4Sale Nyumba inauzwa Nyegezi Bondeni

Baba D kwa nini unauza??? Nimesoma Saut hayo maeneo nayajua vizuri sana,isije kua hicho kiwanja ni gumashi...... Maana kina Kashekuli pande hizo wana case za viwanja kwa sana tu

Ninauza kutatua shida zangu nyingine, wala usihofu hakuna shida yoyote, we fika site uliza hata majirani jibu utapata.
 
Bei tsh milion 25,iko barabara ya
kuelekea shule ya msingi nyasubi, ukiwa
stand chukua toyo mwanbie akulete kwa
lugiko mtaa wa nyasubi fika hapo piga
sim, mimi niko kazini nitakuunganisha na
mpangaji utaiona bahati mbaya sina picha mpaka nikienda
 
Bei tsh milion 25,iko barabara ya
kuelekea shule ya msingi nyasubi, ukiwa
stand chukua toyo mwanbie akulete kwa
lugiko mtaa wa nyasubi fika hapo piga
sim, mimi niko kazini nitakuunganisha na
mpangaji utaiona bahati mbaya sina picha mpaka nikienda
 
Bei tsh milion 25, Nimepunguza iko barabara ya
kuelekea shule ya msingi nyasubi, ukiwa
stand chukua toyo mwanbie akulete kwa
lugiko mtaa wa nyasubi fika hapo piga
sim, mimi niko kazini nitakuunganisha na
mpangaji utaiona bahati mbaya sina picha mpaka nikienda
 
kama kweli uko serious Weka picha mkuu mtu aione kwanza nyumba ndio aje kuiangalia ufanye biashara. mtu utoke mjini hadi huko hata picha ya nyumba hujaiona ni ngumu mkuu
 
Bei tsh milion 35,iko barabara ya
kuelekea shule ya msingi nyasubi, ukiwa
stand chukua toyo mwanbie akulete kwa
lugiko mtaa wa nyasubi fika hapo piga
sim, mimi niko kazini nitakuunganisha na
mpangaji utaiona bahati mbaya sina picha mpaka nikienda
Mbona awali ulisema unauza mil 25 na sasa imepanda tena hadi ,35? Kwel mwaka huu tutaisoma namba
Mr nguvu hainashida kabisa eneo ilipo ni pakavu hakunashida kipindi chote, unadrive mpaka ndan kwamza iko kando tu ya barabara
 
Mkuu, nimepunguza, nilikuwa nauza 35 sasa ni 25M, Picha hadi niende, niko kazini siunajua kasi ya mheshimiwa? kutumbuliwa ni dakika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom