Nyumba inauzwa kunduchi salasala

Kizamani

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
418
108
Nyumba yenye rooms (3), ikiwemo master inauzwa eneo la kunduchi salasala mboma road nyuma ya kisima kikubwa cha maji. Bei ni M85, maongezi yapo. hakina udalali wala tatizo lolote. Kiwanja kina hati ya ardhi ya kijiji ya mnunuzi wa mwisho na mtangulizi wake utapewa. nyumba iko kwenye finishing, wiring tayari na umeme uko karibu hamna haja ya nguzo. kiko kwenye planned area na majiarani wote wamepima.Ina maji tayari. Wasiliana na 0655710520 (Owner).
IMG-20120524-00036 (5).jpg
 
bei iko fair,wenye mahela yenu nunueni au mnikopeshe mie ninunue ...:lol::lol:
 
mkuu huko viwanja,ni expensive,nakushauri uonane na wale masurveyor na evaluator aje aone eneo lako afu ndio akwambie bei ya kuuza,ndio uuze....hii price uliyoweka hapa naona ni cheap kwa hilo eneo sana,..................
 
Mbona unatuharibia dili sasa Jestina?
 
bei iko fair,wenye mahela yenu nunueni au mnikopeshe mie ninunue ...:lol::lol:
Jestina umesoma vizuri tangazo hilo?? Milioni 85 nyumba ikiwa katika hatua ya finish ni FAIR? Hakika bongo kila mtu fisadi isipokuwa MIMI
 
Hajui bei za nyumba huyo jestina pengine mambo kama hayo wanaume ndo macho wanawatoka sana, kula kwa jasho kulala kwa ninin? kama kuzaa ni kwa uchungu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom