Nyumba inauzwa Kigamboni beach

khaliciouz

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
579
210
Nyumba inauzwa....!!
Ipo kigamboni block b mikadi beach

ina vyumba 4 (self moja) pia ina sebule kubwa mbili, ina gereji/store....
Pia kiwanja cha nyuma ya nyumba, matenk
ukubwa wa kiwanja ni sq meter 645
pia ni nyumba ya kisasa

bei milioni 135 tu. (135,000,000/=)

contacts: 0713 77 47 46
 
Sababu ya kuuza ni kwamba mmiliki amestaafu sasa anarudi kwao kijijini kagera na kuhamisha makazi yake baada ya kustaafu hivi karibuni
 
Mmmh hivi ilipo Mikadi si ni ndani ya eneo la K'mboni la makazi mapya...

Msijekuwa mnataka waingiza watu cha kike...
 
kigamboni yote itajengwa upya nina video ya 30 min inaoneha jinsi itakavyokuwa 2030.... ila now wameanza na transport na communication ways
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom