nyumba inauzwa keko mwanga

mila

Member
Feb 15, 2011
9
0
nyumba ya vyumba sita,na flame ya biashara inauzwa keko mwanga,ina umeme na maji,karibu na kanisa la kekomwanga.bei maelewano.piga namba 0659 631651
 
Jamani hakuna bei inaitwa maelewano. Jaribini hata kutoa indicative cost. jamini pesa zetu ni za kungaunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom