Nyumba inauzwa kariakoo

Dodo18

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
315
93
Habari wana JF.. Natafuta mnunuzi wa nyumba, iko kariakoo mtaa wa nyarung'ombe na ndanda.. Nyumba ni kubwa na iko kwenye corner.. Mimi ni mjukuu wa mwenye nyumba..
 
Tsh 750 million.. Considering ukubwa wa nyumba yenyewe na the fact iko kwenye corner hii bei ni bargain sana.
 
Hati ndio inayo. Tume imeshughulikiwa recently, ilikua haina.. Ilikua ina makaratasi tu ya ununuzi kati ya babu yangu na yule aliemuuzia miaka ya sabini..
 
The plan was kuingia ubia na mjenzi,lakini naona mzee kabadili mawazo..
 
Back
Top Bottom