Nyumba inauzwa; ipo Arusha

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Nyumba ipo mbauda kwa Mrombo ina vyumba 4 vya kulala vyumba viwili ni self, kuna public toilet, dinning, sitting kitchen na store. inalo eneo kubwa kwa mbele ya nyumba kutengeneza garden na kwa nyuma unaweza jenga servant couter pia kuna choo cha nje pitlatrin.
bei ni million 90 lakini ni negotiable. KAMA KUNA YEYOTE ANAYEHITAJI ANAWEZA KUNI PM.

Picha za nyumba hiyo ni hizo hapo angalia na uthamanishe mwenyewe.

IMGP1547.jpg

IMGP1548.jpg

IMGP1549.jpg

bado mkuu kuna kitu unakosea ziweke kwenye desktop alafu upload kwa kutumia kitufe cha ku-upload
 
bado mkuu kwani unafanyaje labda kuna sehemu unakosea picha zipo wapi kwenye pc au labda ni mimi peke yangu ila tunaomba wengine mnaoangalia mtwambie kama mnaona picha m_kishuri nakuona hapo chini je wewe unaona picha?
 
Ngoja nipate kwa wengine kama wanaziona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom