Nyumba inapangishwa

Dandaj

Member
Apr 16, 2009
73
2
Nyumba inapangishwa kwa Tshs 150,000/= kwa mwezi. Ipo maeneo ya Majumbasita - airport Dar es salaam kabla ya kufika Banana.

Hadhi: 1. Ina vyumba 2 vya kawaida vya kulala, masterbed room 1, sitting room, jiko , choo cha public.
2. LUKU ya kujitegemea bila kushirikiana na wapangaji wengine.
3. Mita ya maji ya kujitegemea bila kushirikiana na wapangaji wengine, maji yapo full time.
4. Gari linafika hadi mlangoni bila matatizo.

Mapungufu:
Nyumba hii haina uzio, lakini mwenye nyumba atauweka wakati wo wote kuanzia sasa.

Mawasiliano:
Wasiliana kwa kumpigia mwenye namba hizi 0715/0784- 99 47 25 kwa maelekezo zaidi.
 
Bado mkuu, ndio anajipanga kufanya hivyo.
Anajipanga kibongo, ukihachoma ndani tu imetoka hiyo!!!! kesho kesho (natania). Hiyo ni bei nzuri kwa vyumba vitatu-Banana!!! Mjini sijafika siku nyingi.
 
Uzuri anakubali miezi sita, Hivyo itakuwa rahisi kumbana atekeleze sehemu yake ya mkataba wenu.
 
Back
Top Bottom