Nyumba inapangishwa

Ellie

Senior Member
Sep 2, 2011
123
15
Nyumba ipo boko California. Upande wa kushoto, nyumba ina 2bedrooms master inclusive, jiko na sitting room, iko kwa fence na in good condition, kodi ni 250,000 tshs,kwa mwezi na inalipiwa miezi minne kwanza then baada ya hapo ni mwezi kwa mwezi. Ni PM kwa muhitaji.
 
Mmmh kwa bei hiyo napata maeneo ya karibu na mji saaaaafi kabisa! Review upya hiyo bei
 
Nyumba inapangishwa,ipo Mabibo,4bedroom master inclusive,jiko na store yake,sebule na dining,parking ya magari zaidi ya matano,kisima cha maji chumvi na maji ya Dawasco yanapatikana,umeme full time.bei(laki5 kwa mwezi)0713698405
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom