Nyumba inapangishwa

Kabachubya

Member
Oct 6, 2009
87
10
Nyumba inapangishwa ipo tbt kimanga karibu na kanisa la KKKT kimanga, ina pande mbili, kila upande unajitegemea luku, 2 bedrooms,bafu na choo,jiko seating room. Ipo ndani ya fence unapack magari mawili. Bei ni 250,000/= kwa mwezi, haina dalali. Kwa mawasiliano .

0784 407068
0717 123464
 

Attachments

  • DSC02371.jpg
    DSC02371.jpg
    159.6 KB · Views: 136
  • DSC02365.jpg
    DSC02365.jpg
    92.2 KB · Views: 118
  • DSC02370.jpg
    DSC02370.jpg
    156.4 KB · Views: 99
  • DSC02372.jpg
    DSC02372.jpg
    102.8 KB · Views: 93
  • DSC02375.jpg
    DSC02375.jpg
    105.8 KB · Views: 97
  • DSC02368.jpg
    DSC02368.jpg
    139.5 KB · Views: 94
Aise we ni noma unasema haina dalali kwani wewe ni nani? any way kula laki mbili nikupe m2 kwa ajili ya miezi 10 kama upo serious nicheki kwa 0755348169
 
Tafadhali maelezo zaidi, ina maana ni pande mbili kila moja ina vyumba 2 au sijakuelewa vizuri? Kama itapungua mpaka 200,000/= ni PM.
 
Je mimi nikimleta mteja, yeye ndiye akinipa pesa za udalali wa kumleta? pia nakushauri uende tabata kimanga stendi kuna ofisi inaitwa True Road, karibu na Kwa Mpemba, atakusaidia kupata mteja.
 
Retreat ni sawa kabisa, kila upande una vyumba vi2, jiko,seatig rom na bafu+choo. bei ni 250,000/=
 
Mambo vp mrekebishaji? nashukuru sana kwa ushauri wako. mimi sihusiki na mapatano wenu, akikutoa kwa sababu umefanya kazi ya kuitafuta na kumleta basi hiyo itakuwa haki yako.
 
Kabachubya nimekusoma fresh, na vipi sasa haishuki kidogo labda 200,000/=. Pia unapokea kodi ya muda gani? Miezi 3, 6 9 au mwaka? Vipi Maji yapo au ya kisima?
 
Retreat bei haishuki na kodi unalipa kwa mwaka mmoja. Maji yapo karibu sana, ni ya kisima.
 
Mambo vp JF members? Hii nyumba iko wazi kuanzia mwisho wa mwezi huu, kwahiyo mkataba utaanza 1st of September 2011. Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom