Nyumba inapangishwa ubungo kibangu

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Ina vyumba vya kulala vitatu ( kimoja self contained na vingine viwili vya kawaida). In sebure kubwa ambayo inatumika kama dinning pia. Ina jiko na store. Ina uwanja wa kutosha kupaki magari matatu au manne. Kodi sh 300,000 kwa mwezi.
Kwa maelezo ya ziada piga simu 0717114409
 

Attachments

  • IMG0102A.jpg
    IMG0102A.jpg
    129.5 KB · Views: 87
  • IMG0097A.jpg
    IMG0097A.jpg
    79.6 KB · Views: 74
  • IMG0107A.jpg
    IMG0107A.jpg
    65.2 KB · Views: 85
  • IMG0105A.jpg
    IMG0105A.jpg
    118.2 KB · Views: 62
  • IMG0110A.jpg
    IMG0110A.jpg
    87.1 KB · Views: 73
Back
Top Bottom