Nyumba inapangishwa sinza

MARILYN

Member
Feb 23, 2011
96
15
Nyumba inapangishwa sinza kumekucha, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbedroom moja, sebule, dinning, jiko na store, nyumba ina marumaru za spain, parking kubwa na fence ya uhakika, bei ni 600,000 Tsh kwa mwezi
 
Nyumba inapangishwa sinza kumekucha, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbedroom moja, sebule, dinning, jiko na store, nyumba ina marumaru za spain, parking kubwa na fence ya uhakika, bei ni 600,000 Tsh kwa mwezi call 071413362

kumbe maisha Dar yako hivi?
Sina ubaya mkuu, lakini Am just flabbergasted
 
Nyumba inapangishwa sinza kumekucha, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbedroom moja, sebule, dinning, jiko na store, nyumba ina marumaru za spain, parking kubwa na fence ya uhakika, bei ni 600,000 Tsh kwa mwezi call 071413362

duh kazi kweli kweli, ngoja nikamalizie kibanda changu gongolamboto
 
nyumba inapangishwa sinza kumekucha, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbedroom moja, sebule, dinning, jiko na store, nyumba ina marumaru za spain, parking kubwa na fence ya uhakika, bei ni 600,000 tsh kwa mwezi call 071413362

hivi huu wizi utaisha lini?
Serikali ipo wapi?
Bei za nyumba za kupanga kwa sasa haziendani kabisa na maisha ya watu wake, tunakomoana sana,
serikali inabidi iingilie kati suala hili la bei za nyumba za kupanga.
 
sirikali iko usingizini bado jitahidi ujenge kibanda chako!
 
600,000/= kw amwezi ni kila kitu..kula,full furnished,mke unapewa ,full beki wa kumlea gaude unapewa na kama sikosei bei hii inajumlisha na kupewa ki Vitz cha wife kuendea saluni kutengeneza kucha pale mori...Mshanifahamu!!!
 
hivi huu wizi utaisha lini?
Serikali ipo wapi?
Bei za nyumba za kupanga kwa sasa haziendani kabisa na maisha ya watu wake, tunakomoana sana,
serikali inabidi iingilie kati suala hili la bei za nyumba za kupanga.

na huyo mwenye nyumba wala hatolipa kodi ya mapato kutokana na hiyo laki sita ya kila mwezi
 
Back
Top Bottom