Nyumba inapangishwa Mbezi- Off Bagamoro Road

kilakala

Member
May 19, 2011
23
2
Nyumba ya kupanga ipo mbezi juu kupitia massana hospital (mbezi beach).Ipo kuanzia tarehe 1/3/2012. Inamaster bedroom, vyumba vingine viwili, toilet na small sitting rm. Gharama yake ni Tsh 200,000 kwa mwezi. Ipo ndani ya geti na imewekwa tiles ndani. Wasiliana kwa email : kimandolu@hotmail.com
 
Mimi nahitaji chumba na sebule, hicho chumba kiwe ni masterbed room kinanitosha kwa vile sina familia. Nahitaji maeneo ya huko huko mbezi juu kunanifaa sana.
 
Nyumba ya kupanga ipo mbezi juu kupitia massana hospital (mbezi beach).Ipo kuanzia tarehe 1/3/2012. Inamaster bedroom, vyumba vingine viwili, toilet na small sitting rm. Gharama yake ni Tsh 200,000 kwa mwezi. Ipo ndani ya geti na imewekwa tiles ndani. Wasiliana kwa email :
kimandolu@hotmail.com

Iko umbali gani toka bagamoyo road?
 
Huyu alikuwa anafanya maskhara. Kabandika uzi halafu katoweka wakati wenzie tuko serious. :embarassed2:
 
Mimi nahitaji chumba na sebule, hicho chumba kiwe ni masterbed room kinanitosha kwa vile sina familia. Nahitaji maeneo ya huko huko mbezi juu kunanifaa sana.

Nitumie msg kwenye email yangu hili tuweke kuwasiliana na uweze kuja kuiona kama utaipenda. Kumbuka hii nyumba aina pesa za mambo ya udalali. unalipa hiyo hiyo pesa.
 
Nitumie msg kwenye email yangu hili tuweke kuwasiliana na uweze kuja kuiona kama utaipenda. Kumbuka hii nyumba aina pesa za mambo ya udalali. unalipa hiyo hiyo pesa.

Acha ubaguzi bac, pamoja na kupanga foleni wa kwanza hata kunijibu hutaki? :sorry: Landlord!
 
Huyu alikuwa anafanya maskhara. Kabandika uzi halafu katoweka wakati wenzie tuko serious. :embarassed2:
Digna, ukipata maeneo ya Tegeta/Boko niPM niwe mwenyeji wako. Usimwambie mtu lakini.
 
Hivi wewe unapangisha nyumba kweli au unatuzingua tu?email nimetuma nikaweka na namba yangu ya simu wala sikupata jibu siku ya nne hii!nikafanikiwa kupata namba ya kilakala nikakupigia ukasema wala wewe hujui hiyo nyumba!jamiiforums naona inaanza kuwa kijiwe cha masiala
 
Nyumba ni kweli inapangishwa. Sijapata email yako naona ulikosea. Kama upo serious unaitaji nyumba basi nitumie cmu yako kwenye email yangu hili nikupigie jinsi ya kuonana na kuiona hiyo nyumba. Tumia email hii : kimandolu@hotmail.com
 
Back
Top Bottom