Nyumba Inapangishwa Mbezi Luisi

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Nyumba inapangishwa Mbezi luisi, mabasi yanapogeuzia.

Vyumba vitatu vya kulala, kimoja master bedroom, jiko, sebule kubwa na dinning room.
ipo ndani ya fensi na kuna tenki la maji lita 1000.

kodi ni shillingi laki mbili na nusu. 250,000/= kwa mwezi kw muda wa miezi 6.

Kwa anayehitaji tafadhari ni PM.
 
Back
Top Bottom