Nyumba inapangishwa Mbezi Juu

kilakala

Member
May 19, 2011
23
2
Nyumba ya vyumba vitatu na sebule na jiko inapangishwa kwa Tsh 300,000 kwa mwezi kuanzia mwezi wa sita. Parking ya gari ipo. Nyumba ipo kwenye fensi. Wasiliana na mimi kama upo serious.Amna mambo ya udalali.
 
Mkuu hebu elekeza vizuri ni mbezi maeneo gani? then lete contact tukutafute
 
Mbezi ya tank bovu. Off Bagamoyo Road. Mtu ambaye yupo serious anatafuta nyumba anaweza kunipm nikamuonyesha. Siku ya jumamosi na jumapili
 
Nyumba ya vyumba vitatu na sebule na jiko inapangishwa kwa Tsh 300,000 kwa mwezi kuanzia mwezi wa sita. Parking ya gari ipo. Nyumba ipo kwenye fensi. Wasiliana na mimi kama upo serious.Amna mambo ya udalali.

kaka
nyumba bado ipo? naomba contact tafadhali kama bado ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom