NYUMBA INAPANGISHWA-kwa wanafunzi wa St. Joseph University

beko

Senior Member
Apr 11, 2011
189
91
Nyumba self contained ipo mbezi mshikamano inapangishwa. inafaa kwa wanafunzi wa Chuo kikuu st Joseph, bei ni 300,000 kwa mwezi. kama ni wanafunzi wanaweza wakajiunga hata 6 kwani nyumba ina vyumba 3 vya kulala. if interested please call 0714432979
 
Back
Top Bottom