Nyumba 3 zinapangishwa ostabey

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
moja ina vyumba 26, inafaa kwa matumizi ya ofisi na inaeneo kubwa , pia ni nzuri kwa anayewaza kufanya biashara ya hotel hapa Dar . ingine ni kwa ajiri ya kuishi ni apartment ipo stabey B. na nyingine ina vyumba 15 pia inafaa kwa ofisi au familia nne zinaweza kuishi pamoja ina eneo kubwa sana na stand by generator . Havilla Real Estate Agent 0657 14 5555, 0755 099 291, 0686 200117. Tom
 
Back
Top Bottom