nyumba 2 zinauzwa mbagala-200,000.dalali 10%

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
wanandugu kama kichwa cha habari hapo juu kuna nyumba zinuzwa mbili zinako mbagala zakhem sh 200,000 ikiwa na hati ya kiwanja na kila kitu....
dalali atapatiwa 10%
kwa mawasiliano zaidi piga 0754 034 224
 
Mimi mwenyewe nakaa Mbagala; hatuuzi ng'o!!!

Kwanza barabara ndio imetengenezwa nasi tumepanda dau; Unafikiri hiyo ajali ya siku moja ndio itukimbize?
 
Hiyo nyumba ya Mbagala, iko karibu na Jeshi?
Kama ndivyo basi ukinipa nyumba hiyo au kunipangisha ita bidi unilipe!!!!!
 
wanandugu kama kichwa cha habari hapo juu kuna nyumba zinuzwa mbili zinako mbagala zakhem sh 200,000 ikiwa na hati ya kiwanja na kila kitu....
dalali atapatiwa 10%
kwa mawasiliano zaidi piga 0754 034 224

Ndugu yangu, kama ndo hapo jeshini.......mmmmmh!
 
wanandugu kama kichwa cha habari hapo juu kuna nyumba zinuzwa mbili zinako mbagala zakhem sh 200,000 ikiwa na hati ya kiwanja na kila kitu....
dalali atapatiwa 10%
kwa mawasiliano zaidi piga 0754 034 224

Mkuu huu ni utani au kweli?
 
jaribu bahati yako mkuu ni kweli kabisa....aiko mbali sana na kituo cha zakhem....
 
Ndugu yangu, kama ndo hapo jeshini.......mmmmmh

usiogope sana mkuu mnadhimu ametuambia wameshajipanga ikitokea maafa ka hayo yawezekana tripu hii da lugalo ukapoteza bahati
 
wanandugu kama kichwa cha habari hapo juu kuna nyumba zinuzwa mbili zinako mbagala zakhem sh 200,000 ikiwa na hati ya kiwanja na kila kitu....
dalali atapatiwa 10%
kwa mawasiliano zaidi piga 0754 034 224

...teh teh. Umetulia kweli wewe? Hujatulia.:D
 
hahahaaa!! ingekuwa lugalo au kunduchi mkuu mbagala silaha zimeisharipuka zote, mie nataka kushuhudia kwahiyo mwenye kiwanja karibu na kambi ya lugalo au kunduchi jamani tena karibu na ghala!!!
 
Back
Top Bottom