Nyufa zaongezeka CCM, matokeo ya uchaguzi ngazi ya wilaya yazua mambo

Maseto

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
944
545
Matokeo ya uchaguzi mkuu ndani ya chama yanazidi kuzua balaa.kwa mfano,uchaguzi uliofanyika leo kule masasi umezua mambo kiasi cha kuöngeza vyufa.wale walichaguliwa kwa nafasi za mwenyekiti wa wilaya na mjumbe wa Nec wataongeza migongano kwa kuwa si rika la kuweza kupambana na mikikimi ya sasa.MTU UNATAKIWA KUMJUA ADUI YAKO KULIKO UNAVYOjijua mwenyewe.
 
wewe uligombea nafasi gani mkuu Maseto!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom