Nyota zenu

baba una balaa wewe.......khaaa....

hee! halafu kumbe wewe ni starsake wangu, mie mwenzio nshauanza huo mkakati mapemaaa, kumbe nimeongozwa na nyota lol. Nahakikisha lazima nimpate leo leo
 
wengine hata nyota zao wamezisahau
kila kitu wanachakachua hata tarehe ya kuzaliwa hawaijui tena.
 
tena makubwa
manake toka babako anipige kibuti ni mwaka wa 12
sasa yamekuwa hayo.
MSHALE – NOV 22 DEC – 21
Leo ni siku nzuri kwako kwani yule dada anayekuchukulia mumeo kapata
Uhamisho. Huo utakuwa mwanzo nzuri wa ratiba ya mumeo kubadilika

Kwani sasa atakuwa anashinda zaidi nyumbani mara atokapo ofisini

kuna party ya kumpokea?
 
KAA – JUNE21 – JULY – 22
Huyo mwanamke unayemfuatilia ni mke wa mpemba na kama utaendelea
Kuna hatari ya kupoteza nyeti zako. Zitayeyuka na sehemu ya nyeti itakuwa
Na jipu. Tahadhari kwani vitumbua utaviona kwenye beseni tu hutakula.

kwenye red hapo
 
MSHALE – NOV 22 DEC – 21
Leo ni siku nzuri kwako kwani yule dada anayekuchukulia mumeo kapata
Uhamisho. Huo utakuwa mwanzo nzuri wa ratiba ya mumeo kubadilika

Kwani sasa atakuwa anashinda zaidi nyumbani mara atokapo ofisini

kuna party ya kumpokea?

Niliacha kabisa na kusahau kila kitu.
ni hadithi ndefu.
 
SIMBA - JULY 23 – AGOST 22
Usisikilize sana maoni kutoka Jamii Forum, unatakiwa kuichunguza simu
Ya mkeo mara kwa mara kwani majina ya wapenzi wake kasevu ya kike
Ukiona mama fulani…. Usiamini mia kwa mia. Pendelea kuamka usiku wa
Mananenenda chooni na simu ya mkeo kisha ujifungie na uchunguze meseji
Zote kwa utulivu.

Sasa kama mimi ni mwanamke inakuwaje hapa, naona kama vile hizi nyota readings zako ziko gender biased LOL
 
Hahahaaaaa, hapo inabidi uzi-negate (zisome kwa kuzikanusha) na kinyume chake, ndo inaaply kwa opposite sex.
Kmf. Usisikilize sana maoni kutoka Jamii Forum, unatakiwa kuichunguza simu
Sikiliza sana maoni kutoka jamii forums, hautakiwi kuichunguza simu ya mumeo
Lol.
 
He sijui umejuaje maana nimeangalia nyota ni kweli kwa wanawake
ni kinyume kwa wenye nyota hii ingawa uliyotumia si kanuni yake.
 
Tutaendelea na nyota baadae kidogo maana naenda kuzika. Mwalimu
aliyenifundisha S/kimu darasa la nne amefariki. Namkumbuka sana huyu
mama kwani alinifundisha mapishi mpaka leo sipati shida jikoni.
R.P Mwalimu Mkilanya.
 
Hahahaaaaa, hapo inabidi uzi-negate (zisome kwa kuzikanusha) na kinyume chake, ndo inaaply kwa opposite sex.
Kmf. Usisikilize sana maoni kutoka Jamii Forum, unatakiwa kuichunguza simu
Sikiliza sana maoni kutoka jamii forums, hautakiwi kuichunguza simu ya mumeo
Lol.

Aisee mkuu, hiyo negation unayatoka tufanye wengine hatuiwezi, ni afadhali ukatuwekea kabisa wazi, hii hapa ni kwa njemba, na hii hapa kwa masister do LOL
 
' NDOO – JAN 20 – FEB – FEB
18
Anza mkakati wa kutafuta
mpenzi mwingine kwani
huyo uliye naye
anakuongopea
Na kukupotezea muda. Pole
sana.'

Shindwa na ulegee.
 
SAMAKI – FEB 19 – MARC – 20
Tabia ya mke wa bosi
wako kukukonyeza
itaendelea. Kama
unamtaka mchukue tu
Hautafukuzwa kazi kwani bosi wako
atakufa siku si nyingi
kutokana na kuzembea
Utumiaji wa dawa za
ARV na kuendekeza
gongo. Mchukue kwani hata yeye atakufa
Siku si nyingi na wewe
utakuwa mrithi wa mali
zake. Kwa wanawake
Nyota zinaonyesha
Kuwa watapata bahati kubwa sana kama
watavaa nguo za chama
chochote cha siasa.

Mkuu nimechoka kabisa hapa. Mana ndo nyota yangu hiyo.
 
Back
Top Bottom