Nyongeza ya mshahara au ni nyongeza ya kawaida ya kila mwaka (increement)?

Aine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,603
488
Wana JF poleni na majukumu

Nashindwa kuelewa kuhusu hiyo inayoitwa nyongeza ya mshahara ya mwaka huu, wataalam tusaidieni, hivi hii ni nyongeza ya kawaida ya mshahara ya kila mwaka au ni nyongeza ya mshahara kwa mwaka huu? Maana sielewi mfano, eti TGS A 1 aliyekuwa anapata shilingi 135,000/= sasa anapata shilingi 150,000/= kwa hiyo iliyoongezeka hapo yaani shilingi 15,000 ni nyongeza ya kila mwaka au kati ya hizo shilingi ngapi ni nyongeza ya mshahara kwa mwaka huu na shilingi ngapi ni nyongeza ya kila mwaka?

Kwa anayejua vizuri atusaidie
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom