Nyomi hii - Mubarak bye bye!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Hii nyomi lazima imng'oe Mubarak leo.

2wfmro7.jpg

Million Man March - Tahriri Square

20r2yz7.png

Said Mwema, Mwamunyange na Shimbo mnaona majeshi proffesional yanvyobehave?
 
Kati ya picha za matukio ninazofurahia kuziona kwenye vurugu za Egypt ni ambapo raia wanakuwa wamepanda Vifaru na wana wanajeshi.... I really like that... Natamani na wanajeshi wa Tanzania wangekuwa kama wa Egypt...tungefika mbali.. They are very friendly to people.
 
Mubarak hatoboi, lazima ang'ooke tuu. Kwa sasa ni anatafuta njia ya kutorokea basi !!!!!!
 
Kati ya picha za matukio ninazofurahia kuziona kwenye vurugu za Egypt ni ambapo raia wanakuwa wamepanda Vifaru na wana wanajeshi.... I really like that... Natamani na wanajeshi wa Tanzania wangekuwa kama wa Egypt...tungefika mbali.. They are very friendly to people.

Me too mkuu na ndiyo maana nimeiweka hapo, yaani hizi ni picha zitakaa hta baada ya miaka mia!
 
Mimi nahisi huo upole wa jeshi la misri umelenga katika kuziteka nyoyo za raia wa kawaida, ili wakati ukiwadia liweze kuchukua nchi kirahisi
 
Time has come for Mubarak to surrendor now!

Mungu aepushie mbali huu mwamko usije Tanzania maana utaweza kuiondoa hii amani tuliyo irithi, Tumuache Kikwete atulie ale nchi na akina Rostam tartiiiibu huku wananchi tukihangaika na ya fuatayo.

1.Vifo mahosptalini vinavyoweza kuzuilika
2.Foleni mabarabarani
3.Mfumuko wa bei
4.Kukosa kazi hivyo kuzalisha vibaka
5.Wizi wa kodi zetu
6.Ukosefu wa maji safi na ya uhakika
 
kwanini na sisi tusijipange kwani matatizo yao na Tanzania hayatofautiani,kusekana ajira,gharama za maisha kupanda,kutokuwa na demokrasia ya kweli.....
tuna kila sababu ya kufanya mabadiliko
 
Hii nyomi lazima imng'oe Mubarak leo.

2wfmro7.jpg

Million Man March - Tahriri Square

20r2yz7.png

Said Mwema, Mwamunyange na Shimbo mnaona majeshi proffesional yanvyobehave?

Hii nimeipenda sana! Kwa mwendo huu sidhani kama Mubarak ana siku nyingi!!!....Big up wamisri...:clap2::clap2::clap2:
 
Kati ya picha za matukio ninazofurahia kuziona kwenye vurugu za Egypt ni ambapo raia wanakuwa wamepanda Vifaru na wana wanajeshi.... I really like that... Natamani na wanajeshi wa Tanzania wangekuwa kama wa Egypt...tungefika mbali.. They are very friendly to people.

Hivi ndivyo inavyotakiwa kwa vyombo vya "Ulinzi na Usalama" wa nchi na raia. Bahati mbaya petu ni kuwa kati ya vyombo hivyo na raia kuna uadui mkubwa ambapo mara nyingi "walinzi wetu" wanatumia silaha kutuua na kutuibia.
 
kilicho nivutia zaidi hakuna mkristo wa muislam wa mpagani wote neno moja, hali ya maisha ni ngumu MUBARAK ONDOKOA. HATUKUTAKI. Tuna mengi ya kujifunza toka masri.
 
Majeshi ya tanzania ni ya kulinda viongozi wa chama na serikali ya ccm. aibu.
 
Bongo haiwezi tokea sababu ASKARI WETU WAKO BRAIN WASHED!:msela:
Wao kila kitu NDIO AFANDE

USITEGEMEE HATA SIKU MOJA BONDO KUWA HIVI.

PIA WATU NI WAOGA KUPITA KUNGURU SASA UNATEGEMEA WATAJITOKEZA NA KUKAA MTAANI WIKI NZIMA?

WACHACHE SANA WENYE UJASIRI KM HUO NA HII NDIO INADHOOFISHA NGUVU YA UMMA HAPA TZ.
 
Back
Top Bottom