Nyoka na fimbo kwenye Noti ya Tsh 500 ina Maana gani? BoT yatoa ufafanuzi

Samahan wana jamvi hiv mnamkubuka hyu mbunge kwa jina?wakat anachangia kwenye wizara ya fedha kama sikosei ni mwaka jana au juzi aliwah kusema
'' uchumi wa Tanzania unaporomoka kwa kuwa katika noti ya shilingi 500 kuna nyoka ambayo ni ishara ya shetani,so ili uchumi upande inabdi itolewe.....''
 
Habari wana jf! Naombeni kufahamishwa kuhusu picha ya nyoka aliyejizungusha kwenye fimbo, nilishaiona kwenye Taasisi kubwa za Afya kama Muhimbili kisha nimeiona tena kwenye noti ya Tshs. 500 upande wa nyuma kushoto. Ina umuhimu gani mkubwa mpaka kutumika kwenye mahospitali na kwenye noti? Kama kuna mwingine aliyebahatika kuiona kwenye kitu kingine naomba atujuze!
 
Hiyo ya Muhimbili na other Medical Institutions inaitwa "Caduceus" jina la kigiriki ni alama ya utabibu! Unaweza kuGoogle upate details zaidi! Usiogope bana! Ni vizuri unavyofanya udadisi! Watakuja magwiji hapa watafunguka zaidi!
 
Ni kweli kabisa,niliwahi sikiaga siku moja kuna mtaalamu mmoja wa afya kutoka wizara ya afya akielezea maana ya ile alama. Kwanza sio nyoka km watu wengi wanavyodhani,ni aina ya mnyoo. Huyo mnyoo alikuwa akitolewaga toka mwilini mwa mgonjwa/binadamu kwa kuzungishwa na kimti,ndo mana hata ile picha huwa hivyo.
Ilikuwaga karne za nyuma huko..
 
its freemasonic symbol which shows a snake surrounding a dagger it barely means the god of health and protection,its source is egypt ,a snake is a devil refering to clear understanding of true doctrines

unaweza ukaikuta kwenye gari za redcross,ambulance,pesa mbalimbali,bidhaa,nguo,vitabu,rozari,vyakula vya makopo na kadhalika wameshateka dunia by 90%
 
kuna mtu kaniambia kule misri zamani, musa aliambiwa na mungu aweke nyoka kwenye mti na auchomeke chini, wale wayahudi waliokuwa wanaumwa na nyoka wakitazama huo mti hawatakufa lkn ambao hawatautazama watakufa
 
its freemasonic symbol which shows a snake surrounding a dagger it barely means the god of health and protection,its source is egypt ,a snake is a devil refering to clear understanding of true doctrines

unaweza ukaikuta kwenye gari za redcross,ambulance,pesa mbalimbali,bidhaa,nguo,vitabu,rozari,vyakula vya makopo na kadhalika wameshateka dunia by 90%

kwa hiyo hata yule nyoka wa Musa ni wa freemason? unajua watu mmekuwa wahubiri wa mambo bila kujua historia ya yale mnayoyahubiri. mmekuwa kama wachungaji wa mitaani wanaowahubiria wasiojitambua kisa tuu hawawezi kudadisi ukweli wa mambo.

Historia inaonyesha ile alama ipo miaka mingi kabla ya Kristo lakini freemason imeanzishwa kwenye karne ya 13 baada ya Kristo. sasa sijui huo uhusiano unakujaje hapo.

Unapohusisha kila alama ya nyoka na ushetani inaonesha huna imani kwani hata Mungu kuna wakati alitumia nyoka kuonesha ishara ya ukuu wake. mfano; nyoka wa Musa alietokea baada ya kutupa fimbo chini ambayo yalikuwa ni maajabu ya Mungu
 
Habari wana jf! Naombeni kufahamishwa kuhusu picha ya nyoka aliyejizungusha kwenye fimbo, nilishaiona kwenye Taasisi kubwa za Afya kama Muhimbili kisha nimeiona tena kwenye noti ya Tshs. 500 upande wa nyuma kushoto. Ina umuhimu gani mkubwa mpaka kutumika kwenye mahospitali na kwenye noti? Kama kuna mwingine aliyebahatika kuiona kwenye kitu kingine naomba atujuze!

Hiyo ni alama ya miungu ya kigiriki;

Caduceus is a winged staff with two snakes wrapped around it. It was an ancient astrological symbol of commerce and is associated with the Greek god Hermes, the messenger for the gods, conductor of the dead and protector of merchants and thieves.
 
kwani pale jangwani wayahudi walitundikiwa nini watizame ili wasife baada ya kung'atwa na nyoka?.
Conect doti.

tatizo lako unamuiga Mwamad had ujinga wake, thats a giant worm DRANCULIASIS na alisumbua sana mpaka msaada mkubwa ulivyotoka U.S kupitia rais Jimmy Carter (carter Centre) na U.S CENTRE FOR DISEASE CONTROL (CDC) ambapo dawa waligundua waisrael
 
Hiyo ni alama ya miungu ya kigiriki;

Caduceus is a winged staff with two snakes wrapped around it. It was an ancient astrological symbol of commerce and is associated with the Greek god Hermes, the messenger for the gods, conductor of the dead and protector of merchants and thieves.

mnadanganyana kweli misikitini
 
its freemasonic symbol which shows a snake surrounding a dagger it barely means the god of health and protection,its source is egypt ,a snake is a devil refering to clear understanding of true doctrines

unaweza ukaikuta kwenye gari za redcross,ambulance,pesa mbalimbali,bidhaa,nguo,vitabu,rozari,vyakula vya makopo na kadhalika wameshateka dunia by 90%

Nilivyokupa ushauri wa Kupima akili naona haukuufuata....

La asha! Kama uliufuata basi dozi ya kichaa hauzingatii..
 
kwa hiyo hata yule nyoka wa Musa ni wa freemason? unajua watu mmekuwa wahubiri wa mambo bila kujua historia ya yale mnayoyahubiri. mmekuwa kama wachungaji wa mitaani wanaowahubiria wasiojitambua kisa tuu hawawezi kudadisi ukweli wa mambo.

Historia inaonyesha ile alama ipo miaka mingi kabla ya Kristo lakini freemason imeanzishwa kwenye karne ya 13 baada ya Kristo. sasa sijui huo uhusiano unakujaje hapo.

Unapohusisha kila alama ya nyoka na ushetani inaonesha huna imani kwani hata Mungu kuna wakati alitumia nyoka kuonesha ishara ya ukuu wake. mfano; nyoka wa Musa alietokea baada ya kutupa fimbo chini ambayo yalikuwa ni maajabu ya Mungu

Mkuu kama unaweza mfokonyoa huyo REALITY na mabandiko yake ni wazi kabisa utaekewa huyu bwana akili yake imevurugwa sana...

We mpuuze tuu...
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo hata yule nyoka wa Musa ni wa freemason? unajua watu mmekuwa wahubiri wa mambo bila kujua historia ya yale mnayoyahubiri. mmekuwa kama wachungaji wa mitaani wanaowahubiria wasiojitambua kisa tuu hawawezi kudadisi ukweli wa mambo.

Historia inaonyesha ile alama ipo miaka mingi kabla ya Kristo lakini freemason imeanzishwa kwenye karne ya 13 baada ya Kristo. sasa sijui huo uhusiano unakujaje hapo.

Unapohusisha kila alama ya nyoka na ushetani inaonesha huna imani kwani hata Mungu kuna wakati alitumia nyoka kuonesha ishara ya ukuu wake. mfano; nyoka wa Musa alietokea baada ya kutupa fimbo chini ambayo yalikuwa ni maajabu ya Mungu
nyoka aliemdanganya eva...unganisha doti.

Nyoka=shetan=lucifer.
Fremason=secret society=lucifer.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom