nadahani ile ni nembo ya tiba, sawa na iliyopo muhimbili na mahospital mengine.
Kila nishikapo noti ya shilingi mia tano huwa nakutana na picha ya nyoka aliyejiviringisha kwenye fimbo. Kwa anayejua naomba anipe ufafanuzi japo kidogo, hivi mchoro ule unawakilisha nini?
kwa bahati mbaya shekhe yahaya ametangulia mbele ya haki.hakika angekuwepo angekusaidia kukupa jibu.Kila nishikapo noti ya shilingi mia tano huwa nakutana na picha ya nyoka aliyejiviringisha kwenye fimbo. Kwa anayejua naomba anipe ufafanuzi japo kidogo, hivi mchoro ule unawakilisha nini?
Free masson
kama nyoka ni alama ya tiba mbona pia nyoka anakua associated na shetani eti ndie aliyemdanganya hawa kule bustani ya edeni, kipi ni kipi, nyoka ni tiba au shetani? kama ni tiba si wangeweka picha ya mwarubaini basi ambao ni rahis kwa kila mtu kuuelewa kua ni dawa?
nyoka kama nyoka ni mnyama innocent kabisa na aliumbwa kwa madhumuni mazuri na Mungu kama walivyoumbwa wanyama wengine kama Binadamu, Nguruwe, Mbwa,Mijusi n.k waliosoma ECOLOGY watakubaliana na mimi kuwa kila kiumbe kina umuhimu wake katika ecosysterm.Sasa basi Lugha iliyotumika kwenye scriptures siyo lugha ambayo unaweza kui construe litearaly.inahitaji utaalamu hasa vitabu vya kinabii.ni zaidi ya statute (sheria) ambazo kuna ufundi fulani wa kuzisoma ambazo zinahitaji mtu aliyebobea kwenye fani ya sheria (statute reading) ambapo hata kama maneno yaliyotumika yanaonekana ni ya kawaida kabisha kisheria yatakuwa na maana nyingine.kwa maana hiyo hakuna jinsi ambavyo sheria au katiba itaandikwa kirahisi ili kila mtu aielewe kwani hata mwana jurisprudensia maarufu J.BENTHAM theory zake ziliprove failure kwa hilo.Mwisho nyoka kufananishwa na shetani katika vitabu haimaanishi kwamba ni shetani kweli au ana ufanano wowote wa kimopholojia na shetani au Mungu anamchukia nyoka hasha.Mungu alitumia lugha ya picha katika kupeleka ujumbe na alitumia kutokana na wakati.Ukumbuke kuwa Mtume petro aliyemkanana Yesu mara tatu alikemewa na Yesu lakina baadaye ndio huyohuyo ailyekabithiwa kanisa na Kristo.kama nyoka ni alama ya tiba mbona pia nyoka anakua associated na shetani eti ndie aliyemdanganya hawa kule bustani ya edeni, kipi ni kipi, nyoka ni tiba au shetani? kama ni tiba si wangeweka picha ya mwarubaini basi ambao ni rahis kwa kila mtu kuuelewa kua ni dawa?
Ile alama sio nyoka ni mnyoo ambaye huweza kumwingia mtu na hapo zamani ilibidi mnyoo huo uviringishwe kwenye kijiti halafu ndo utolewe!