Nyoka mkubwa kaingia ndani kwangu halafu kajificha

hapa mwili unasisimka yaani mi na nyoka mbalimbali, yaani hao wadudu wananinyima sana raha
 
Kaka me ndo niliyemuona nimeamka nikaenda toilet wakati natoka ndo nikapambana nae kasimama kwenye mlando wa chooni akanyanyuka kama anataka kuniuma nikakwepesha mguu nikawahi sebuleni nibebe walau kitu cha kumpigia ss niliporudi kuangalia pale kwenye mlango wa bafuni nikamkosa si ndo hapo purukushani ilipoanzia kaelekea wapi hatujui ikawa ni kuamshana tu ss ndani ili tuanze zoezi la kumtafuta!

Yaani kwa kweli ulipata mshituko, mie sijui ningefanyaje navyowaogopa. lazima alishaingia landa hata alilala humo. Ni bahati hata hakuwaingilia vyumbani, mashukani etc. na imagine mtu umekaa tuli sebuleni unaongea au kuangalia tv anakung'ata miguuni kwa nyuma. yaani nasisimuka utadhani mie.

Pole sana.
 
Mkuu hapo kwenye red!! Kuna nyoka ambao wao ni washambuliaji si mpaka umpige au umkanyage. Mfano mzuri kabisa ni black mamba (jina la kiswahili limenitoka) yeye huwa akikuona anakushambulia tu na ana uwezo wa kushambulia adui mia moja na kuwaua kwa wakati mmoja. It is the most poisonous snake ever.

Acha uongo wewe. Black mamba siyo koboko. Watu watatu tu akiwagonga, anakuwa shoga.
 
true that..... inategemea unaangaliaje issue

siwezi kuua nyoka huku natuma post jf..........

mkubwa!....katika hili ujue unakosea sana,toka jana nakwambia.ilitakiwa utoe ushauri kwanza,akisha maliza zoezi lote tena kwa mafanikio,ndio umueleze tatizo ulililoliona.unacho kifanya ni sawa kumkuta mtu kapata ajal na gari yake anaomba msaada wa kupewa huduma ya kwanza,unaanza kumshambuli eti kwanin ulikua speed.kubali kama umekosa
 
mkubwa!....katika hili ujue unakosea sana,toka jana nakwambia.ilitakiwa utoe ushauri kwanza,akisha maliza zoezi lote tena kwa mafanikio,ndio umueleze tatizo ulililoliona.unacho kifanya ni sawa kumkuta mtu kapata ajal na gari yake anaomba msaada wa kupewa huduma ya kwanza,unaanza kumshambuli eti kwanin ulikua speed.kubali kama umekosa
samahani kama nimekosea ila niliuliza kwenye post yangu ya kwanza, hakuna majirani??? manake the first step would be to reach out to neighbors to kill nyoka, have you ever thought mtu anapost JF huku anatafuta nyoka aliyeingia ndani ya nyumba?
 
samahani kama nimekosea ila niliuliza have you ever thought mtu anapost JF huku anatafuta nyoka aliyeingia ndani ya nyumba?
mkubwa! Hapo kwenye red ndio jambo la msingi,unafaa kuwa kiongozi hapo kwenye blue elewa jamaa alikuwa kadata,na huwenda kwakua ilikua ni siku ya kaz,mahouse girl ndio walijaa tu
 
Pole mzee sasa ni hv... Kwanza unatema mate ili yeye asikutemee, afu unachukua kanga, kitenge au taulo unaviringisha kama kata ili asiweze kukimbia abaki pale pale alipo! Ndipo umtafte! Ukshndwa N-pm nije nimkome Nyani.
Mhhh we jamaa muongo wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom