Nyoka Afariki Baada ya Kugonga Matiti ya mrembo

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Katika hali isiyo ya kawaida, nyoka amefariki baada ya kumgonga kwenye matiti mrembo wa Israel anayesifika kwa matiti makubwa duniani.
Nyoka huyo alifariki kutokana na sumu ya silikoni kwenye matiti ya kutengeneza ya mrembo wa Israel, Orit Fox.

Mrembo Orit alikuwa kwenye shughuli ya kupiga picha za urembo akiwa anamchezea nyoka huyo na kupiga naye picha katika mapozi mbalimbali.

Video ya tukio hilo ambayo imewekwa kwenye mtandao wa YouTube imekuwa gumzo duniani kiasi cha baadhi ya watu kuweka maoni wakisema "Mungu akulaze pema Nyoka" huku mwingine akiandika "Natamani ningekuwa nyoka".

Video hiyo inamuonyesha mrembo huyo akimchezea nyoka huyo huku akimramba ramba mdomomi na kumzungusha sehemu mbali mbali za mwili wake.

Nyoka huyo aliposogezwa karibu na matiti ya mrembo huyo, ghafla aliyazamisha meno yake kwenye titi la kushoto la mrembo huyo huku akigoma kuliachia kirahisi.

Orit aliwahishwa hospitali ambapo baada ya kufanyiwa uchunguzi na kudungwa sindano za tetenasi aliachiwa arudi nyumbani kwake.

Hali ilikuwa tofauti kwa nyoka kwani siku iliyofuatia alifariki dunia.

Televisheni ya Telecinco ya nchini Hispania iliripoti kuwa nyoka huyo alifariki kutokana na sumu ya silikoni kwenye matiti ya mrembo Orit.

Angalia video za tukio la Mrembo Orit kung'atwa na nyoka.
 
tehe watu walivyo wakware eti they wish they were that snake, eti yule nyoka kafaidi kunyonya matiti ya yule mrembo so wao wangekuwa huyo nyoka
 
Kumbe ndiyo maana wanasema, inzi kufia juu ya kidonda si haramu......
 
tehe watu walivyo wakware eti they wish they were that snake, eti yule nyoka kafaidi kunyonya matiti ya yule mrembo so wao wangekuwa huyo nyoka

kwa maana hiyo na wao wangefaidi kwa muda tu ili wafe kama wangukuwa majoka, raha ya short time then you die!
 
Huyo muisraeli kwenye video kakupigia " aaaaaaah, kang'ata titii" simchezo lol.

Maziwa feki yamemfanya nyoka hafe kutokana na sumu iliokuwepo kwenye "silicone".

Demu alizidi kumuekea nyoka ulimi wake nae, nyoka kafikiri mrembo anataka kumng'ata akaona bora amuwahi yeye lol.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, nyoka amefariki baada ya kumgonga kwenye matiti mrembo wa Israel anayesifika kwa matiti makubwa duniani.
Nyoka huyo alifariki kutokana na sumu ya silikoni kwenye matiti ya kutengeneza ya mrembo wa Israel, Orit Fox.

Mrembo Orit alikuwa kwenye shughuli ya kupiga picha za urembo akiwa anamchezea nyoka huyo na kupiga naye picha katika mapozi mbalimbali.

Video ya tukio hilo ambayo imewekwa kwenye mtandao wa YouTube imekuwa gumzo duniani kiasi cha baadhi ya watu kuweka maoni wakisema "Mungu akulaze pema Nyoka" huku mwingine akiandika "Natamani ningekuwa nyoka".

Video hiyo inamuonyesha mrembo huyo akimchezea nyoka huyo huku akimramba ramba mdomomi na kumzungusha sehemu mbali mbali za mwili wake.

Nyoka huyo aliposogezwa karibu na matiti ya mrembo huyo, ghafla aliyazamisha meno yake kwenye titi la kushoto la mrembo huyo huku akigoma kuliachia kirahisi.

Orit aliwahishwa hospitali ambapo baada ya kufanyiwa uchunguzi na kudungwa sindano za tetenasi aliachiwa arudi nyumbani kwake.

Hali ilikuwa tofauti kwa nyoka kwani siku iliyofuatia alifariki dunia.

Televisheni ya Telecinco ya nchini Hispania iliripoti kuwa nyoka huyo alifariki kutokana na sumu ya silikoni kwenye matiti ya mrembo Orit.

Angalia video za tukio la Mrembo Orit kung'atwa na nyoka.

Hapo nilipopigia mstari na mashaka napo, sindano ya tetenasi kwa mtu aliyegongwa na nyoka?
Ninavyofahamu mie sindano ya tetenasi :

PHARMACOLOGICAL ACTION:
Neutralises the toxin produced by Clostridium tetani. The toxin has a high affinity for nerve tissue and antitoxin is unlikely to have an effect on toxin that is no longer circulating.

INDICATIONS:
Used to provide temporary passive immunity in the prevention and treatment of tetanus.

CONTRA-INDICATIONS:
This preparation of Tetanus Antitoxin (equine) should not be used if Human Antitetanus Immunoglobulin inj. is available. Should be used with great caution if patient is subject to allergic disease such as asthma or infantile eczema, or was allergic to any previous antiserum injection.

DOSAGE AND DIRECTIONS FOR USE:
Prophylactic use:
Tetanus Antitoxin (equine) should not be used in the routine treatment of traumatic wounds. If the wound is extensive, with a high risk of tetanus infection, antitoxin, (preferably the human immunoglobulin) may be injected intramuscularly at the earliest possible moment after infliction of the injury. If equine antitoxin is used, the dose is usually from 1500 to 6000 units.
 
huyo muisraeli kwenye video kakupigia " aaaaaaah, kang'ata titii" simchezo lol.

Maziwa feki yamemfanya nyoka hafe kutokana na sumu iliokuwepo kwenye "silicone".

Demu alizidi kumuekea nyoka ulimi wake nae, nyoka kafikiri mrembo anataka kumng'ata akaona bora amuwahi yeye lol.

mi nafikiri utamu ndio umemuua yule nyoka alikuwa hajawahi...kupata ileee kitu laini vile
 
Kila kitu feki cha mchina kina matatizo yake hayo matiti nahisi yalikuwa ya mchina.
 
Back
Top Bottom