Nylon, plastic na rubber: Kuna neno la Kiswahili?!

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Naomba kujua kama kuna maneno halisia ya Kiswahili au la lugha yoyote hapa ya Kibantu kuwakilisha maneno yafuatayo:

-- nylon
-- plastic
-- rubber

Ahsanteni.

Steve Dii
 
Naomba kujua kama kuna maneno halisia ya Kiswahili au la lugha yoyote hapa ya Kibantu kuwakilisha maneno yafuatayo:

-- nylon
-- plastic
-- rubber
Ahsanteni.

Steve Dii
Neno pekee linalobadilika ni Rubber = mpira yaliyobakia tumeyachukua kama yalivyo.
 
Back
Top Bottom