Nyimbo za Taifa mnazikumbuka?

PlanckScale

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
550
169
I have just finished re-ripping all my CDs (about 1300) into a 400gb of .wav files.
So nikapata idea ya kutengeneza listi ya "Nyimbo za taifa"; jina ambalo tuliziita zile nyimbo zilipendwa sana bongo (miaka ya 1978 - 1988). Hizo nyimbo zikipigwa kwenye sherehe, basi kila mtu lazima acheze!

Sasa hapa ni listin yangu ambayo nimejaribu kuzipaka kulingana na ukali. Hebu changia basi au kosoa listi yangu:
icon7.png


1. Don't stop ‘till you get enough – Michael Jackson 1978
2. Let's Go Dancin' (Ooh, la, la, La) - Kool and the Gang
3. Let me love you (My sweetie) – Bunny Mack, 1978
4. Going back to my roots – Odyssey, 1980
5. Wanna Be Startin' Somethin' - Michael Jackson 1982
6. Get down on it - Kool and the Gang, 1981
8. You can't hide your love – David Joseph, 1983
9. Holiday – Madonna, 1982
10. All night long – Lionel Richie, 1984
11. What do I do – Galaxy, 1984
12. Illusion – Imagination, 1982
13. Red Red Wine – UB40, 1982
14. Sugar Bum Bum – Lord Kitchener, 1978
15. Shake your body – The Jackson, 1978
16. Burn out – Mabuse, 1985
17. Celebration - Kool and the Gang, 1982
18. Sexual healing – Marvin Gaye, 1982
19. I'm in Love With a DJ - Yvonne Chaka Chaka, 1985
20. Reggae Nights – Jimmy Cliff, 1983
21 Trapped - Colonel Abrams, 1983
22. Ain't no body - Chaka Khan, 1984
23. Upside Down – Diana Ross, 1980
24. Could you be loved, – Bob Marley & the Wailers, 1980
25. Sweet Mother - Prince Nico Mbarga, 1978
26. Buffalo Soldier – Bob Marley & the Wailers, 1983
27. Higher Love - Steve Winwood, 1986
28. Friends – Shalamar, 1982
29. Jump to it- Aretha Franklin, 1982
30. Surprise Surprise - Central Line, 1983
31. Le Freak – Chic 1978
32. Girlie Girlie: Sophia George, 1985
33. Sexual Rapping (Sexual healing Rapp) – T Ski Valley 1983
34. Brigadier Sabari – Alpha Blondy
35. Don't turn Arround – Aswad, 1989
36. Zanzibar - Mabuse, 1985
37. Standing on the Top – The Temptation, featuring Rick James, 1982
38. Always – James Ingram, 1987
39. Lagos Jump – Third World, 1984
40. One Way Ticket – Eruption, 197
41. Tales from Kilimanjaro - Santana, 1983
42. Takes a little bit of time - Toto Contrast, 1985
43. Smooth Operator – Sade, 1984
44. Don't Stop the Music - Yarbrough & Peoples, 1980
45. Careless whispers – Wham, 1984
46. Endless love, 1981
47. We are the World – USA for Africa, 1984
48. Master Blaster – Stevie Wonder, 1980
49. Pass the Dutchie – Musical Youth, 1982
50. 777-9311 – The Time, 1983



Lakini, kumbuka hii sio listi ya nyimbo kali, bali ni listi ya nyimbo zilizopendwa kupindukia! Therefore, nyimbo kama hizi hapa chini hazimo kwenye listi japo zilikua kali:

Outstanding (The Gap band)
Saturday night (T Connection)
Situation (Yaz)
Ain't no stopping us now (McFadden & Whitehead)
Dancing on the Floor (Third world)
Love come down – Evelyn King
Give me the night (George Benson)
IOU (Freeez)
Twilight (Maze)
 
Jamani tutaendelea kusifu 'uzungu' tangu lini?inamaana hajaona hata wimbo mmoja wa kibongo uliowika mbona zipo nyingi tu?tubadilike tuwe na uzalendo?
I have just finished re-ripping all my CDs (about 1300) into a 400gb of .wav files. So nikapata idea ya kutengeneza listi ya "Nyimbo za taifa"; jina ambalo tuliziita zile nyimbo zilipendwa sana bongo (miaka ya 1978 - 1988). Hizo nyimbo zikipigwa kwenye sherehe, basi kila mtu lazima acheze! Sasa hapa ni listin yangu ambayo nimejaribu kuzipaka kulingana na ukali. Hebu changia basi au kosoa listi yangu:
icon7.png
1. Don't stop ‘till you get enough – Michael Jackson 1978 2. Let's Go Dancin' (Ooh, la, la, La) - Kool and the Gang 3. Let me love you (My sweetie) – Bunny Mack, 1978 4. Going back to my roots – Odyssey, 1980 5. Wanna Be Startin' Somethin' - Michael Jackson 1982 6. Get down on it - Kool and the Gang, 1981 8. You can't hide your love – David Joseph, 1983 9. Holiday – Madonna, 1982 10. All night long – Lionel Richie, 1984 11. What do I do – Galaxy, 1984 12. Illusion – Imagination, 1982 13. Red Red Wine – UB40, 1982 14. Sugar Bum Bum – Lord Kitchener, 1978 15. Shake your body – The Jackson, 1978 16. Burn out – Mabuse, 1985 17. Celebration - Kool and the Gang, 1982 18. Sexual healing – Marvin Gaye, 1982 19. I'm in Love With a DJ - Yvonne Chaka Chaka, 1985 20. Reggae Nights – Jimmy Cliff, 1983 21 Trapped - Colonel Abrams, 1983 22. Ain't no body - Chaka Khan, 1984 23. Upside Down – Diana Ross, 1980 24. Could you be loved, – Bob Marley & the Wailers, 1980 25. Sweet Mother - Prince Nico Mbarga, 1978 26. Buffalo Soldier – Bob Marley & the Wailers, 1983 27. Higher Love - Steve Winwood, 1986 28. Friends – Shalamar, 1982 29. Jump to it- Aretha Franklin, 1982 30. Surprise Surprise - Central Line, 1983 31. Le Freak – Chic 1978 32. Girlie Girlie: Sophia George, 1985 33. Sexual Rapping (Sexual healing Rapp) – T Ski Valley 1983 34. Brigadier Sabari – Alpha Blondy 35. Don't turn Arround – Aswad, 1989 36. Zanzibar - Mabuse, 1985 37. Standing on the Top – The Temptation, featuring Rick James, 1982 38. Always – James Ingram, 1987 39. Lagos Jump – Third World, 1984 40. One Way Ticket – Eruption, 197 41. Tales from Kilimanjaro - Santana, 1983 42. Takes a little bit of time - Toto Contrast, 1985 43. Smooth Operator – Sade, 1984 44. Don't Stop the Music - Yarbrough & Peoples, 1980 45. Careless whispers – Wham, 1984 46. Endless love, 1981 47. We are the World – USA for Africa, 1984 48. Master Blaster – Stevie Wonder, 1980 49. Pass the Dutchie – Musical Youth, 1982 50. 777-9311 – The Time, 1983 Lakini, kumbuka hii sio listi ya nyimbo kali, bali ni listi ya nyimbo zilizopendwa kupindukia! Therefore, nyimbo kama hizi hapa chini hazimo kwenye listi japo zilikua kali: Outstanding (The Gap band) Saturday night (T Connection) Situation (Yaz) Ain't no stopping us now (McFadden & Whitehead) Dancing on the Floor (Third world) Love come down – Evelyn King Give me the night (George Benson) IOU (Freeez) Twilight (Maze)
 
Jamani tutaendelea kusifu 'uzungu' tangu lini?inamaana hajaona hata wimbo mmoja wa kibongo uliowika mbona zipo nyingi tu?tubadilike tuwe na uzalendo?

Ndugu, nami nimzalendo kama wewe. Nakubaliana na mtazamo wako. Ila, wakati huo wa 80s nyimbo hizi ndio zilitawala majumba ya mangoma. Lile disco la Biribi pale Seaview walikuwa hawachezi sindimba. So strictly speaking, this is a list of pop music that dominated the times. But look through the list you will find some great African artists/songs, such as:

3. Let me love you (My sweetie) – Bunny Mack (From Sierra Leone),
16. Burn out – Mabuse, 1985 (South African)
19. I'm in Love With a DJ - Yvonne Chaka Chaka, 1985 (South African)
25. Sweet Mother - Prince Nico Mbarga, 1978 (Nigerian).
34. Brigadier Sabari – Alpha Blondy (Ivory Cost)
36. Zanzibar - Mabuse, 1985 (South African)


Na hawa nduguzetu walioko diaspora ni ngozi yatako tuu kama sisi ;):

11. Sugar Bum Bum – Lord Kitchener (??)
20. Reggae Nights – Jimmy Cliff, 1983
24. Could you be loved, – Bob Marley & the Wailers, 1980
26. Buffalo Soldier – Bob Marley & the Wailers, 1983
32. Girlie Girlie: Sophia George, 1985
35. Don't turn Arround – Aswad, 1989
39. Lagos Jump – Third World, 1984
49. Pass the Dutchie – Musical Youth, 1982
 
Ongeza na zile za Zaire kama Lipua lipua, Shama shama, Grand pizza, Orch.Kiam, Zaico langalanga, Veve, OK jazz, Afrisa Internationale. Pia usisahau za Mbaraka Mwishehe, Nuta Jazz, Kilwa Jazz, Western Jazz n.k.
 
Ongeza na zile za Zaire kama Lipua lipua, Shama shama, Grand pizza, Orch.Kiam, Zaico langalanga, Veve, OK jazz, Afrisa Internationale. Pia usisahau za Mbaraka Mwishehe, Nuta Jazz, Kilwa Jazz, Western Jazz n.k.

Kweli mkuu, kama ile nyimbo ya Les wanyika "sina makosa", iliwika sana tuu. Japo sio kwenye madisco, lakini kila kwenye maharusi na minuso (yaani party) ilichezwa sana.
 
Back
Top Bottom