Nyimbo za Msanii Kundambanda zinasikilizwa?

Baba Kundambanda ni Mwanaharakati aliejitolea kunyoshea kidole bila kuficha ficha au kuzunguka zunguka kupitia muziki. harakati hizi anazigharamia mwenyewe bila kufadhiliwa na mtu yoyote na hauzi mziki wake kwani lengo lake huwafikie jamii yote
 
Mi n'nao mmoja nadhan huu utakuw wimbo mpya unaitwa DUA; ni mzur sana kuusikiliza, kuna sehemu anawaombea dua CCM waendelee kuufanya ujinga wao huku wenyewe wakidhan wanapendwa ili nguvu ya umma iwakute hapohapo wakiw wamezubaa..., teh! teh! teh!
 
Jamani kwa kuwa nimeshafahamu namna ya kuattach nyimbo nitafanya hivyo leo hii.tuombe mtandao utulie.
 
2015,na harakati hizi za Gesi Kwanza,Kusini panakuwa pagumu kwa CCM.LABDA WAIBE KURA.!!!

Hebu fikiria nyimbo hii na zingine zipo kwenye vichwa vya wananchi,siku zinahesabika CCM itabidi wakubali ukweli kuwa wameshindwa kutimiza dhamira ya dhati ya kuleta maisha bora kwa wananchi wa Kusini na Tanzania kwa ujumla.
sio kweli.uchaguzi wa diwani kiwalala wameshinda magamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom