Nyimbo za Krismasi

ktk kipindi hiki cha kuelekea ktk ile sikukuu bora kabisa ya x-mas basi hapa ndipo jim reeves huwapiga bao Keny Roggers na Don William.
Jim Reeves ana nyimbo zake 12 hizo ni Balaa.

Then ukija kwa Bony M nae ana Feliz Navidad, Hooray Hooray its holy holy day, ribons of blue, pia wana nyimbo yao ya mwaka mpya ikifahamika kama Calendar Song, nyimbo hii inataja miezi 12 kwa kiinglish, pia wana nyimbo zao nyingine.

ABBA wao wanayo inaitwa Happy New Year.

Baba Gaston nae anayo ya kwake ya kuitwa Kakolele...

Kakolele mamaa kakoleleee
Kakolele maaa kakolelemaaaa

Kakolele mamamaa yelengie eeh
Masiya yo kolela nako yo mamaaa
Noele mamaa
Noe
Noele Mamaa
Noe
Noele mamaa Yesu amezaliwa
Viva x-mas
Viva x-mas
Viva x-mas
Yesu amezaliwa

Hizo zooote 9 sasa kuna hiyo wanasema...
Iyoooo x-mas iyoo iyooo
1 2 3 4
ii happy x-mas iyoo iyoooo
ii happy new year iyooo iyooooo x8

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

1 2 3 4
ii happy x-mas iyooo iyooooo
ii happy new year iyoo iyooooo x8....

Ok je nani anazitaka nyimbo zooote hizo?
 
me nazitaka unazo?
 
Nani kakwambia?.
Keny Rogers kaimba na Dolly P album inaitwa Christmas in America ni nzuri ajabu, ni midundo tofauti na Jimmy hivyo siwezi kusema nani zaidi. Ila ni nzuri bora uitafute hii album ni ya siku nyingi zaidi ya miaka 10.
 
The First Noel, the Angels did say
Was to certain poor shepherds in fields as they lay
In fields where they lay keeping their sheep
On a cold winter's night that was so deep.
Noel, Noel, Noel, Noel
...
 
Ishu ni kuwa huku niliko hazipatikani.

Katavi, kwa hali ya upendo wa agape. naweza kukutumia CD ya hizo nyimbo?
Krismasi ni kati ya siku muhimu kwangu na nina CD nyingi na wakati kama huu lazima nisikilize mpaka mwisho wa Dec.
 
Dah!! nitashukuru sana endapo utanisaidia kwa hilo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom