Nyimbo za Krismasi

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
Heshima wakuu.
Jamani kama kuna mtu ana collection ya nyimbo za krismasi naomba atuwekee hapa!!
 
Katavi zile za mwaka jana umepeleka wapi...well ngoja nikutafutie
 
Jamani mnunue mchangie hii industry au ndo mazoe ya kuchakachua????????
Ahahahahaaaaaah sio kuchakachua mkuu, nimezitafuta huku kwetu katika maduka mbalimbali lakini nimekosa. Nadhani kuna watu wanazo ambazo zinapatikana online.
 
Originally Posted by Preta
Katavi zile za mwaka jana umepeleka wapi...well ngoja nikutafutie


Ubarikiwe Preta
 
Kuna ile moja Viva Xmas,Noel Baba,mtoto Yesu anazaliwa,inaimbwa kilingala sijui vizuri kuiimba naikumbuka sana.
na ingine tukaone muziki wa wanakamanyola oh,oh Xmas oyee!
Merry Xmas hiyohiyo Happy New Year hiyohiyo
a,b,c,d,e,f,g,h,i,j,k,l,m,n,o,p,q,r,s,t,u,v,w,x,y,z
1,2,3 hiyo Merry Xmas hiyohiyo,Happy New Year hiyohiyo
 
Naipenda sana kakolele viva christmas ya baba gaston,naona haichuji kabisa tangu nikiwa mtoto.
 
Kakolee mama... Kakoleleee
kakolele kako mama...
Noele mama.. Noele mama.. Yesu kazaliwa
viva christmass...viva christmass...
 
kumbe xmas imewadia ..kanunue Katavi ..

Bonnie M kina Jimmy Reeves sijui na kina nani tena hapa TZ zipo pia nyimbo za mamajusi
 
kumbe xmas imewadia ..kanunue Katavi ..

Bonnie M kina Jimmy Reeves sijui na kina nani tena hapa TZ zipo pia nyimbo za mamajusi

Tatizo ni kuwa miji hii tuliyopo hivi vitu hakuna hadi viagizwe Dar, enewei asante sana nitaagiza.......nadhani hadi krismas nitakuwa nimezipata.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom