Nyimbo za abba

Majita

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
609
190
MOD na ndg zangu Wakubwa habari za kwenu?
Tafadhali sana naombeni mniwekee nyimbo za ABBA group zote hasa zile zilizokuwa zinatamba sana enzi zile.Kwa kweli natamani sana kuzisikiliza.Aidha kama zilishawekwa hapa naombeni mnisaidie jinsi ya kuzipata ili nizichukua mara moja.

...mkubwa si ungepekua pekua tu kwenye youtube? haya basi, nakuchombezea hii moja ambayo hunifanyisha niache shughuli zote kuusikiliza;...

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=OuJl1T-trLw"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]​
 
MOD na ndg zangu Wakubwa habari za kwenu?
Tafadhali sana naombeni mniwekee nyimbo za ABBA group zote hasa zile zilizokuwa zinatamba sana enzi zile.Kwa kweli natamani sana kuzisikiliza.Aidha kama zilishawekwa hapa naombeni mnisaidie jinsi ya kuzipata ili nizichukua mara moja.
Majita

Zote karibu ziko on-line. Youtube had ABBA Gold and and others - but some have now been taken off. The best way is to google-search them. You may also wish to get hold of MAMA MIA - a recent movie set on a Greek island with a story fully narrated through a series of ABBA hits...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom