carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 262
jamani ambaye kausikia wimbo wa Futeni Machozi wa yule jamaa aliyekuwa Fine arts UD (Mwamnyenyelwa i think) auweke hapa. ni wimbo mzuri sana jamani type ya ule wa mjomba (mpoto) nikipata nauli.
huu wa samaki ni matusi matupu at least the way i think, na mbaya zaidi nikasikia ka two years old kangu kanauimba, nilitamani ardhi ipasuke niingie.
huu wa samaki ni matusi matupu at least the way i think, na mbaya zaidi nikasikia ka two years old kangu kanauimba, nilitamani ardhi ipasuke niingie.