Nyimbo kwa Waliopita JKT

HTML:
Kule kuzimu hakuna kombo, tungemkomboa Sokoine
Kule kuzimu hakuna Kombo tungemkomboa na Samora
Nalia eeh nalia mama, nalia Sokoine!

Nakumbuka saana Mlale JKT.....na maeneo muhimu, kama Lundipundipu, Masangu, Lusonga, Chipole etc!
Wapi Embakassy Uwanja wandege, shamba kubwa la mahindi, kupalilia miraba!
Mheshimiwa Sana Mbunge Janet Mhagama, kipindi hicho akiwa ametokea chuo cha Ualimu Korogwe!


Wapi Philipo Maendaenda!...!

Magagula, Lipokela, Kitai etc
 
Uhundo gani alioukosa? Mi binafsi naona JKT ulikuwa ujinga mtupu. Sikujifunza chochote zaidi ya kujuana na marafiki wapya. That's it. Nilipoteza mwaka wangu bure pasipo na sababu za msingi.
JKT was just a crap!! I'm glad hakuna hou ujinga tena

Nimeshtushwa na msimamo huu, unanishangaza na kustaajabisha!

Naamini JKT ni moja ya taasisi zilizosaidia kujenga utaifa wetu pamoja na umoja tuliokuwa nao,
 
Ghafla nimezikumbuka nyimbo za jeshini, enzi zileee

"safari ya mamaa naiombea baraka, safari ya mamaa naiombea baraka,
nilimwambia mama, kwa heri nakwenda, kulijenga taifa langu la leo,
hiyooo mamaaa
kwa heri mamaaa nakwenda zangu yoyoyooo kwa heri mamaa nakwenda zangu mbali sana,
nakwenda Mlale
kwa heri mamaa nakwenda zangu mbali sana
nakwendaa Ruvu
kwa heri mamaa nakwenda zangu mbali sana"

Wadau mnakumbuka nyimbo zipi za majeshi?

Naomba mnitumie wimbo wa jeshi: ndugu wa zalendo tuilinde nchi yetu
 
Jualileeee! literemkeeee-mama haiyaiya iyah mama nyoota nazo ziteremkee mamaaaa haiyah iyah iyaa mama
 
Kulekule kwa chinova, kule kwa chinova eh baba na mama tunakwenda na kuchinova! Hiyo ni chorus ya Ruvu JKt nafikiri na Mhe Mbowe anaikunbuka vile
 
'Ikarusi' mama kumbakisa, 'Ikarusi' mama kumbakisa..........
Achimwene kanikuta njiani, njiani........ kaniita jina langu Georgia.........
 
...Mipakani mwaaa mwa UK X2
Namsikia sikia kamanda yeleliii Kamanda, namsikia sikia Kamanda yeleliii Kamanda!!!!!

Hiyo UK si United Kingdom ni Ukerewe, kuna Kamanda mmoja wa Mgambo alileta fujo na kundi lake la mgambo Ukerewe miaka ya themanini so JKT wakatumwa wakamtulize ndo wimbo waliokuwa wanaimba wakati wanakwenda kumshikisha adabu KAMANDA!!!
 
kazi ya majeshi oooh,,gangamala
lazima kugangamala,,gangamala
ooooooohhooh,,,,,,,,,,,,,,gangamala
eeeeheeeeeeh,,,,,,,,,,,,,,,,,gangamala

hapo mnakula scale mnaimba kumridhisha afande tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom