Nyimbo: CHADEMA na Polisi walishirikiana mauaji ya Daudi Mwangosi

Kuna tatizo kubwa la mahusiano ya viongoz wa kitaifa na mikoani huu ni udhaifu
 
Mkuu Ritz
Napita tu mengi tutayasikia tusubiri tu!

Chama
Gongo lamboto DSM
 
Fall out ya mauaji ya Daudi Mwangosi utazitesa pande zzote zilizo husika kadri mambo yanavyozidi kujitokeza hadharani.

Imeanza kubainika kuwa huu mpango wa M4C sasa ni roller litakalo waathiri waliombele katikati na hata karibu na matukio yake , bila kujali maisha ya mtanzania.

Kulingana na gazeti la Mtanzania leo 29/10/2012,page 14, Mzee Nyimbo aunguruma:

"Nasema bila ya kubabaika na nina uhakika na ninachokisema ni kwamba kwa asilimia 50, mauaji ya mwanangu ambaye pia alikuwa ni rafiki yangu Mwangosi, yalisababishwa na CHADEMA kwa kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kupanga kwenda kuzindua tawi la chama ambalo mimi (Nyimbo) nilikuwa tayari nimekwisha lizindua miezi mitatu iliyopita kabla ya tukio lile,"


"Nyimbo alisema tabia ya viongozi wa kitaifa wa Chadema kutoka makao makuu jijini Dar es salaam kwenda mikoani na kufanya mikutano isiyokuwa na maandalizi ya wenyeji wao, inachangia katika kuzuka kwa migongano isiyokuwa ya lazima kati yao na Jeshi la Polisi na hatimaye vurugu kwenye mikutano ya chama hicho"

My Take

The pandora box is now open.
Inalekea fujo zinazotokea wakati wa mikutano ya M4C is by design, na matokeo ya fujo hizo yanaratibiwa invyoelekea.

Sasa hapo sijui sera ziko wapi za kuigwa.
Mbona premises hazisupport conclusion?And your take ndio kabisaa haina support ktk ulichoandika juu.Hakuna kipya zaidi aya sababu zilezile walizokuwa wakitumia CCM za "kosa la marehemu", CDM hawanyimwi uhalali wao wa kufanya mikutano na maandamano,na polisi hawana ushahidi wapi CDM walifanya fujo hata siku hiyo?Pamoja na hayo yote pia mwangosi ni mwandishi kwanini walimfanyia hivyo?Au kwa vile alikuwa akichukua matukio yasiyofanana na taswira waliyokuwa wakiitaka?
 
Huyo mzee Nyimbo sijamuelewa kidogo,anasema lile tawi alilizindua yeye miezi mitatu kabla,je alizindua akiwa kama nani? Pili,kwanini hakumtahadharisha Daudi Mwangosi kuwa tawi lile lilikuwa na mazingira ya utata katika uzinduzi wake? Au ndo namna ya kujitafutia umaarufu kupitia roho za watu...Kwa hiyo yeye anaamini polisi wasingewapiga mabomu wafuasi wa CHADEMA vurugu zingetokea.Bila shaka ametumia akili ndogo kwa kutotenganisha majukumu ya jeshi la polisi na upana wa demokrasia ya vyama vingi,siku ambayo CHADEMA walikuwa wanaamriwa kutokuendelea na M4C ni siku ambayo kule Zanzibar Mhe.Gharib Bilal alizindua kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Bububu,je hiyo haikuwa shughuli ya kisiasa iliyokuwa inaingiliana na zoezi la sensa? Sasa kwa nini hakukuwa na mabomu kwa Mhe.Bilal? Tuache unafiki,polisi walitumia nguvu kubwa dhidi ya raia watulivu waliokuwa wanawajibika katika haki yao ya kisiasa.Jambo la msingi ni kuwakosoa viongozi wa juu wa CHADEMA-wahakikisha chama kinapata nguvu ya mamlaka mikoani na wilayani.
 
gamba ni gamba likikomaa linavuka,baada ya muda linaota lingine, bora watoke tu wasituletee udhaifu kwenye chama, bado shibuda
 
Yuo dont have to be admitted in hospital to be sick! Nyimbo is one of a kind. Ziliundwa tume 3 kuchunguza kifo hicho kilichohuzunisha watanzania wengi! kwa nini asijitokeze akayabainisha haya mapema mbele ya tume hizo.
No wonder anatangatanga na njia!
 
Huyu ni mwanasiasa uchwala,kwanini hakujiuzuru palepale walipoenda kuzindua,iweje aseme leo kuwa yeye na chadema ndio wauwaji,hata kuhama kwake baada ya kufanya mauaj haina maana.
 
Hawa wanasiasa waliotoka ccm kwenda cdm 2010 walihama ki ccm ccm afadhali wengi walianguka maana wanataka kutengeneza ccm ndan ya chadema,wote hao ni akina shibuda na wasipewe nafasi tena kama background yao haifahamiki ni wanafiki wanahongeka..
 
Hawa watu wanaoondoka Chadema na kujitahidi kukitupia chama kila aina ya shutuma wala hawatushangazi ama kutupa mawazo kwamba sasa itakuwaje.
Chadema ni kata mti panda miti, sasa asubiri M4C itakaporudi mkoa wa Iringa ajionee maelfu ya wananchi watakaojiunga ndipo atajua kwamba sasahivi hatumnyenyekei mtu kubaki Chadema ama kuondoka.

Uamuzi ni wako Chaguo ni lako, amua kubaki chadema ama chagua kuondoka chadema, lakini sisi tunasonga mbele.
 
We mzee njaa utakuua hebu tuondokee, ulikuwa wapi muda wote kuleta Usengenyaji wako huo.
 
kweli hii ndio JF, hakuna aliyeungana na msela hata kdg, sasa hayo matusi sijui mnayatoa wapi.. Tatizo nyie wengi wenu vijana mnaangalia uchama na si mtu kama mtu binafsi. Nyie mnataka mniambie kila mtu wa CDM akigombea tu mnampa? Mnadhani CDM hamna wakuda? Na mtabaki kua wabongo tu, kueni acheni uchama usio wa msingi. Mtu akipost chochote kisichofeva CDM hata ka ni kweli mnatukana badala ya kudiscus na kupata ukweli. Mtaiokoa nchi yenu kwa njia hii? Hamchukui mifano ya elections kama US? Watu wanaangalia capability ya mtu hawaendi ovyo, pamoja na Romney kufisadi kulipa tax when he's a billionaire yet watu bado wanampa kura coz anasera(najua wengi mtabana hapa).
 
kweli hii ndio JF, hakuna aliyeungana na msela hata kdg, sasa hayo matusi sijui mnayatoa wapi.. Tatizo nyie wengi wenu vijana mnaangalia uchama na si mtu kama mtu binafsi. Nyie mnataka mniambie kila mtu wa CDM akigombea tu mnampa? Mnadhani CDM hamna wakuda? Na mtabaki kua wabongo tu, kueni acheni uchama usio wa msingi. Mtu akipost chochote kisichofeva CDM hata ka ni kweli mnatukana badala ya kudiscus na kupata ukweli. Mtaiokoa nchi yenu kwa njia hii? Hamchukui mifano ya elections kama US? Watu wanaangalia capability ya mtu hawaendi ovyo, pamoja na Romney kufisadi kulipa tax when he's a billionaire yet watu bado wanampa kura coz anasera(najua wengi mtabana hapa).

.



..



Wewe ndio unajiita mtu mzima!!

Unautu uzima gani?

Hapo kwenye red unataka tuende marekani tukafanye nini!?

Ilhali kiwango cha uchaguzi wa Zambia tu, hatufikii!!!

Hpa kwetu CCM ndiyo kila kitu!! tume ya uchaguzi, mpiga kura, n.k huko Zambia ndivyo ilivyo? sio marekani!!

Mzee gani wewe, wazee tuna wajua wana maarifa!!!



...




...
 
Dingi linazeeka vibaya!!
simple mind-hicho ni kisarani tu,kwanini hakuwahi kuleta udaku wake akiwa ndani ya Chadema?
Anatafuta kujulikana,na huko CCM hupati hata ubalozi wa nyumba kumi.
 
Amekumbuka mabumunda ya posho huko magamba,alidhani chadema wanagawa posho maana nimemsikiliza redio ebony ya iringa town akilalamika kuwa posho wanagawana viongozi tu wa chadema mzee yupo kwa ajilio tumbo lake tu
 
huyu muzee ni pandikizi asilimia 100, ukiona anavyojenga hoja kuwa tawi alishalifungua .tunapata wasiwasi kwanini aandae ziara ya katibu mkuu aje kuzindua tawi lile lile ni kitu gani alikuwa amepanga hapo kitokee ,pili inabidi kuangalia uadilifu wa mtu huyu huko nyuma tuweze kusonga mbele ,hili ni janga
 
Back
Top Bottom