Nyie wanawake...kagueni waume....ama ma bf zenu vitu wanavyovaaaaa

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
820
1,335
IMG00073-20120302-2008.jpg

Sasa unajua soksi iko hivi halafu unavua tu viatu sehemu yoyoteee ile.....dahhhhh
 
Mwanamke akaguee?wewe r u serious..we wakat unavaa hujui,usipojipenda,utapendwa na nani?..bora ata shat,..jaman sox..,ata za jero zipo! Bas asingevaa,..kaniboa uyo sox mtobo,luckly i don'no him...angentambua!!
 
Katika utafiti wangu kwa wanaume kuna baadhi ya wanaume pamoja na kua na uwezo lakini katika vitu vigumu ambavyo si rahisi kukumbuka kununua basi ni soksi/Chupi na Leso! Huu ni utafiti wangu naomba msinihukumu kwa hili!
 
Kama bei ya soksi ni buku, kwanini mtu uvae soksi iliyochanika?

achilia mbali hiyo ya buku! jana yake kanirudia asubuhi, hajaacha pesa ya matumizi, watoto wanaumwa hakuna hata kuwajulia hali, nimkague ili iweje??? arudi alipolala, akaamkia wamkague na soksi na huduma nyingine zote atapata hukohuko anakopatia cku zote! 99% ya ndoa, naona wanaume WANACHANGIA SANA KUVUNJIKA KWAKE! NA KUPUNGUZA MAPENZI!
 
Naomba tu source ya hapo maana siku hizi mnatuonea sana wanaume,akikosea mmoja tu basi mpaka watakatifu tunakuwa humohumo..
 
Ukienda Gym ndo balaa kule changing room. Suti kubwa ila halufu inayotoka kwenye kiatu lazima ukimbilie kufanya mazoezi usije pata brain concusion buree
 
wengine pia, na tununue nguo za ndani nyingi nyingi na kupiga mswaki na tusisahau kupiga hata perfume kidogo..maana unakutana na mtu ananuka mdomo kama nini vile..akinyanyua kwapa...balaa..mara nguo ya ndani inanuka mwisho..tujitahidi kujiweka safi kidogo..tuache kunywa bia na nyama chama tu..halafu nguo za ndani hatununui..
 
Hahahaaaa asanteni sana wote kwa kunifanya nicheke.....JF is never boring, I admit!
 
Back
Top Bottom