Nyie wakina dada wenye hobby ya kuswim kuweni makini....

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
haya sasa...

KAMATI ZA UFUNDI.jpg



maana tumesha zoea kila miss au mdada ukimuuliza au akiulizwa unapendelea nini utasikia kuswim.....sasa si kila mahala pa kudumbukia na hivyo vijivazi vinavyo fichwa na mata..ko...au mtupu kuna watu wapo wanaangalia vituuz
 
hahahahhahah yaani watu wanakuwa na usongo wa kuchungulia watoto wa kike mpaka wanaamua kukaa chini ya maji kisaaaa......
 
unadhani uchu ni wamadaraka tu hata hiyo kitu...
 
dah,kumbe hayo majamaa yapo ndani ya maji!! Wadada kuweni makini na huko fukweni.
 
Hawa jamaa ni Professional wa kukozi, ila wanaburudika jamani !!!!

mmmhhhhh
ngoja huyo mdada
aogelee hapo kama lisaa na nusu hivi.....
tuone kama watazidi kufurahi snema ya bure
au watatoka kama aliyekabwa na viazi vitamu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom