Elections 2010 Nyie viongozi hebu onyesheni kujali basi mnaowaongoza

Hivi ni kwa Msaada wa Nchi gani vile maana Ahadi Nyingi ni kwa Msaada wa Wajomba zetu[/QUOTE

Nadhani anategemea zaidi wamarekani. Zile pesa za Millennium Challenge Account alizotoa Bush zimemzengua sana, anafikiri kila kitu kinawezekana. Lakini angalijua tu kwamba hata ile over $ 600m imebakia kidogo kwani sehemu kubwa iko kwenye consultancy walizopewa zaidi makaburu na sehemu kidogo ya nchi itanufaika nayo.

Ila kuna jambo ambalo nimewahi kulishughudia kwa macho na masikio yangu. Consultants wakizungumza haja ya kuhakikisha miradi inayofadhiliwa na MCA kuharakishwa ili ifikapo Uchaguzi mkuu iwe imeanza. Haya yalikuwa kama maagizo kwa hawa, na yanahusu miradi ya Strategic Cities Project (miji saba) na ile ya mabarabara ya kule Mbeya-Mporogosi etc
 
Bad news to Nyani Ngabu
Kwenye mikutano ya kampeni, JK na CCM yake wanajaza watu si kawaida. Nilikuwa Morogoro jumamosi. Kulikuwa na mkutano hapo jamhuri stadium. Nyomi kwa sana tu. Mtajiju!
 
Basi hitimisho langu mijitu ni mijinga na mijuha kupita kawaida.
 
Kwenye mikutano ya kampeni, JK na CCM yake wanajaza watu si kawaida. Nilikuwa Morogoro jumamosi. Kulikuwa na mkutano hapo jamhuri stadium. Nyomi kwa sana tu. Mtajiju!
Labda tujiulize tatizo ni nini kwetu sisi watanzania, watu tu/wameridhika na hii yali ya maisha, au ni ule mtaji wa Viongozi wetu "Ujinga" kwamba watu hawaelewi/hawaoni uhusiano wa huduma mbovu za jamii na Viongozi wanao-wachagua kupitia sanduku la kura.
 
2i1nrj7.jpg
Naamini ziko nyigi mno na zina pishana kwa Viwango mlionazo tafadhalini ziwekeni hapa mjadala upate Kucha. Hawa hawana ukuta wala sakafu, Kwa kifupi hii picha inaandika kitabu kinachoeleza wapi Mtanzania anatoka, wapi yupo na Wapi anakoelekea!! Kwa kweli Ishara si Nzuri, ni Hatari hata kutabiri nini kitatokea ndani ya miaka michache ijayo. Tuendelee kujadili.
 
Loh!!! haya bana
 
Bad news to Nyani Ngabu
Kwenye mikutano ya kampeni, JK na CCM yake wanajaza watu si kawaida. Nilikuwa Morogoro jumamosi. Kulikuwa na mkutano hapo jamhuri stadium. Nyomi kwa sana tu. Mtajiju!

The Invincible, watu wanakwenda kuangalia show za kina Marlaw na wenzake. Si unajua tena mikutano ya JK ni kama fiesta ndogo vile.
 
Back
Top Bottom