Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyie UDOM;SOCIAL SCIENCE,HUMANITIES AND NATURAL SC. MMESHARUDI CHUONI?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Uncle Jei Jei, Aug 5, 2011.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 875
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Tulipata taarifa kuwa mlitimuliwa chuoni mlipojaribu kudai haki zenu ambazo ni za muhimu kwa msomi yeyote,ila mlikuwa hamjafanya mitihani,vip mtafanya lini? Au ndo maswala ya kuunganisha semsta?
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,387
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wapo Chuoni wanafanya mitihani
   
 3. genekai

  genekai JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 10,799
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Nimeongeana mmoja wao anasema washarudi wako busy dunia nzima pepa limewatait utadhani hawajawahi kuingia darasani au mitihani imetunwa na Kina Plato na Aristotle!
   
 4. lodikasaji

  lodikasaji Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  tupo kwenye pepa mkuu...
   
 5. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 875
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  <br />
  <br />
  dah! Pole sana na mitihani!vp na maraisi wa Social na natural sc. Wamekuja kupiga pepa!? Kila la kheri jamani haki ya mtu haipotei!nadhan na field mtaenda au bado wanabana?
   
Loading...