Nyie tbc,hivi Mkapa ndo kageuka Nasari?

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Ni taarifa ya habari sasa hivi,msomaji kasema tumwone Mkapa alivyo hitimisha Kampeni Arumeru' oohoo! Si mara akaibuka Joshua Nasari!
 
Nadhani hapa wameamua kuunga mkono juhudi za Chiligati kuhakikisha kuwa Mkwe wa Ngoyai hashindi, but wameru walikwisha washtukia zamani.
tbc wamechoka kuburuzwa kila siku.
 
Back
Top Bottom