Nyie nyumba ndogo muache waume za watu wakae na familia zao kesho

Nakwambiaje awamwachi mpaka ujue kinachomfanya atoke kwako hiyo ndio soln ya mwisho <br />
sikuukuu njema na kitimoto njema akikisha mmekipika kimeiva kabisa
<br />
<br />

Hivi huyo mwanaume ni Mbwa au binadamu that hajui anachofanya? Mwanaume wa kwangu, if u want to go outside; be my guest si unatumia kidude chako? Haunipi headache wala toothache; sitapoteza my valuable time to think about what u do with kiukuni chako!
 
Hahahh not Enough leo umenifurahisha lol haya na nyie wenye waume zenu mkumbuke kesho ni Eid si jumapili, mikhanga, mitenge marufuku, peleka watoto na dependents wote kula Eid kwa ndugu, have your quality time na Mr bidada lingeries na sexy calls kwa sana bana.... Pole dancing hahahah

Kama mchana haiwezekani ah. Usimbanie usiku ah! Kumbuka kumwandaa mchana kutwa!By the way zile romantic bulbs bado zipo aisee. I just wish
 
acha watoke na nyumba ndogo ili na sie tupate nafasi ya kuwa na small house zetu pia. siku hizi kutoka ni kuliana timing,tena anajidai hata simu hapigi kumbe ndo na mie staki mawasiliano. werrraaa werraa! eid njema jamani,lol
Umeona ee eti tutafute vya kuwabakiza, kuna sikukuu nilihakikisha nimebana hadi penati, na dozi juu kumpa , alipopata upenyo kajifanya anapigapiga vimuayo vya uongo mara miruzi ya nyimbo za dini mara kachukua chupa eti anaenda mangi shop kwa miguu, loooooo alipokata kona tu kasimamisha bajaji huyooooo.....ama kweli kunguru huwezi mfuga kabisa
 
Hahahh not Enough leo umenifurahisha lol haya na nyie wenye waume zenu mkumbuke kesho ni Eid si jumapili, mikhanga, mitenge marufuku, peleka watoto na dependents wote kula Eid kwa ndugu, have your quality time na Mr bidada lingeries na sexy calls kwa sana bana.... Pole dancing hahahah

Kama mchana haiwezekani ah. Usimbanie usiku ah! Kumbuka kumwandaa mchana kutwa!By the way zile romantic bulbs bado zipo aisee. I just wish
Hivi hizi tunazo kweli???itabidi nitoke nae nje kwenye nguzo za kamba za kuaniki nguo.......si watu hawapo???/hahahahahahaa
 
Nyie wadada mnaonyemelea waume za watu tunaomba kesho siku kuu muwaache wanaume wakae na familia zao na kusheherekea. Kesho muwe wavumilivu mtafute shughuli yoyoye tu ya kufanya. Acheni ku beep na vi message visivyo na maana.

Angalizo

unasound kisharishari kweli! teh teh!
 
Nipo nasoma tu comments za kutu challenge sisi "number one". Unajua ukiwa wa kwanza shida kweli kila mtu ana fight achukue position yako. " Being at the top is as difficult as staying there!" Lakini tunaendelea kupambana kushikilia hii namba.

Aisee Nyumba Kubwa kumbe upoo!
 
Back
Top Bottom