Nyeti zingekuwa na Pass word...

kungekuwa na mita unasoma ujue mwenzi wako kapitia
au kapitiwa na wangapi,pasingekalika.............

Au kungefungwa alarm, ukianza tu inalia kule kwa mwenzako! zali lake ukirudi home, maana anakutajia hadi muda alarm ilipolia
 
inaonesha kingi utulivu ni ziro... vipi akija kusoma hii thread mke wako?
 
Kweli kaka nimesoma mada yako na kuilelwa vizur mno ila mi nacomments kidog tena mada tofauti ya hii yako kaka,kuna watu wamezuka na style mpya ya kujifanya wanawake ili waweze kuwalaghai watu so jamani tuwe makini kwani hawa watu si wema na wanahitajika kukomeshwa mapema iwezekanavyo.
 
Hivi mnadhani uumbaji umekamilika? Kwamba Mungu alimaliza kila kitu ile siku ya saba? Kwamba hakuna tena haja ya kumfanyia binadamu marekebisho madogomadogo? Ukiangalia maendeleo ya ubunifu wa vitu kama magari utaona yamepitia hatua nyingi hadi leo hii, na bado uboreshaji unaendelea. Kwa upande wa binadamu, tangu alipopumbwa hivyo alivyo, ndivyo alivyo na atakavyokuwa hadi dahari. Lakini ingekuwaje kama kutokana na purukushani hizi tunazoziona leo za mtindikio wa uaminifu katika mahusiano na hatimaye visa na mikasa, binadamu akawekewa pass word kwenye nyeti ili kuzuia mwingiliano usio rasmi? Hii pass word ifanye kazi tu pale ambapo mihemko ya kimapenzi inaaza ndipo nyeti zijilock kwa namna itakayokuwa muafaka. Hapo ndipo mwenye 'pini' aidha azitaje kimoyomoyo au kwa njia nyingine ili access ipatikane. Hii pini atakuwa nayo mtu mmoja tu. Kama nyeti ni za mwanamke, basi pini awe nayo mwanaume tu bila ya mwanamke kuitambua, and vice versa. Haya marekebisho yangeokoa ndoa nyingi pamoja na kuleta ahueni duniani. Ni rasimu tu

Hii ingewezekana ingekuwa jema sana, lakini lazima mazingira yafuatayo yawepo;

1. Idadi ya wanaume na wanawake ziwe sawa.
2. Kila mwanamke ampende mwanaume mmoja tu, na kwa wanaume vivyo hivyo.
3. Kila aliyempenda mwingine, basi naye apendwe na huyo tu.
4. Na basi kila waliopendana waendane kiumri, kiasili (yaani wasiwe ndugu wa damu), na wakutane kwa wakati na mahali mwafaka.
5. Ikitokea mmoja kupoteza maisha, basi na mwenzie apoteze mapema bila kuchelewa, vinginevyo kifungu namba 1 hapo juu haitatimia.

Lakini, hata hivyo sipati picha ikiwa password hizo zitaapply kwa vijana wanafunzi...! Je, nani angezilock hizo PIN? Na atazilock vipi?
 
mie navyo ona binadamu tumeletwa hapa kujaribiwa au kupewa mitihani nawatakao shinda ndio wamefaulu... wewe unataka urahisishiwe kila kitu bana... halafu hii proposal unaileta hapa? labda ungemuomba mwenyewe unaweza pewa hiyo password... Kila kitu kina wezeka kwa muumba...
tena wewe inaonekana unahitaji kufuli orijino lenye pin ya sensor
 
Hii ingewezekana ingekuwa jema sana, lakini lazima mazingira yafuatayo yawepo;

1. Idadi ya wanaume na wanawake ziwe sawa.
2. Kila mwanamke ampende mwanaume mmoja tu, na kwa wanaume vivyo hivyo.
3. Kila aliyempenda mwingine, basi naye apendwe na huyo tu.
4. Na basi kila waliopendana waendane kiumri, kiasili (yaani wasiwe ndugu wa damu), na wakutane kwa wakati na mahali mwafaka.
5. Ikitokea mmoja kupoteza maisha, basi na mwenzie apoteze mapema bila kuchelewa, vinginevyo kifungu namba 1 hapo juu haitatimia.

Lakini, hata hivyo sipati picha ikiwa password hizo zitaapply kwa vijana wanafunzi...! Je, nani angezilock hizo PIN? Na atazilock vipi?
naona maboresho anaongezeka, which is good. Mi naona kwa uwiano huu wa sasa isingeathiri kitu. Mpango wa Mungu ni tendo la ndoa ndoani na si vingine. Kama hujao/olewa itabidi uwe na subira tu. Kwa ishu ya wanafunzi haingeaply b'se hawajaingia ndoani, mkuu. suala la kifo hapo, Mungu angeweka mbadala ili aliyebaki aoe/olewe tena
 
^ hahaha Machachari? Na Na Na.. ujanja wangu wote ends there man... there is only one Guy who can turn me on ...na ni HALALI yangu...
 
Haya ni maoni tu mkuu. Lakini kwa wale wanaotaka kutumia PIN, basi wafanye haya yafuatayo ili wawe huru zaidi;

1. Wapendekeze swala la ndoa livunjwe kabisa, ili kila mmoja awe huru kuondoka na kufikia anakotaka kwa siku yeyote. Hii itawawezesha wengi kuwa na access ya kila atakacho kwa uhalali, kwani haitakuwa na mmiliki tena.

2. Waache wivu, ili waweke mioyo yao huru, na hatimaye wasiugue presha.
 
^ hahaha Machachari? Na Na Na.. ujanja wangu wote ends there man... there is only one Guy who can turn me on ...na ni HALALI yangu...
usituongopee sie watu wazima. wako wengi wanaoweza kukuwasha sema tu umeamua kustick na mmoja.

Haya ni maoni tu mkuu. Lakini kwa wale wanaotaka kutumia PIN, basi wafanye haya yafuatayo ili wawe huru zaidi;

1. Wapendekeze swala la ndoa livunjwe kabisa, ili kila mmoja awe huru kuondoka na kufikia anakotaka kwa siku yeyote. Hii itawawezesha wengi kuwa na access ya kila atakacho kwa uhalali, kwani haitakuwa na mmiliki tena.

2. Waache wivu, ili waweke mioyo yao huru, na hatimaye wasiugue presha.
Duh! huko itakuwa mbali sana, mkuu na process yote itakuwa more complicated kuliko hivi hivi sasa
 
Hahahha nilishawahiwaza ingekuwaje kama kungekuwa na kubadilishana- mume unatoa chako unamkabidhi mke na mke watoa unamkabidhi mume kila asubuhi kabla ya kutoka kwenda kazini kisha mnarudishiana jioni mkirudi

...aaah wapi!
msingerudisha nyie ha ha ha...
 
Sisi ni binadamu tumepewa utashi hivyo hakuna sababu ya kuwa controllled.Tunatakiwa kijicontrol sisi wenyewe.
 
Nyeti zingekuwa na password ninge hack password za watu fulani fulani na kuwashughurikia!
 
Back
Top Bottom