Nyeti zaidi ya nyeti ulizonazo

somba kankara

Member
May 6, 2012
84
13
kunajamaa wawili WALOKOLE walimuwania dem mmoja kwa nyakati tofauti basi dem akawapanga
wa kwanza akaambiwa uje saa mbili usiku nitakuwa bado naongea na wazazi wangu
na wa pili uje saa tatu utanikuta kitandani
wa kwanza akaingia akajiandaa na kujilaza kitandani
wa pili akaja akakuta mtu kitandani haraka akavua nguo na kupanda kitandani
mara kutomasana kukaanza kila mmoja anapeleka mkono ktk nyeti za mwenzie Unafilkili nini kitatokea???
 
Ndoa ya jinsia moja. Nimepata au nimekosea jibu?!:coffee::coffee::coffee::coffee:
 
Kila mmoja alibahatika kumshika osama wa mwenzake na mindevu yake hivyo hivyo.
 
Re: Nyeti zaidi ya nyeti ulizonazo
Kila mmoja alibahatika kumshika osama wa mwenzake na mindevu yake hivyo hivyo. :A S-baby::A S-baby::A S-baby:​
 
Inategemea wengine wanaweza kufurai kukutanishwa, maana kaka zetu wengine cku hizi mungu awasamehe.
 
Back
Top Bottom