nyeti-za-mwanaume-zimenasa-ndani-ya-uke-wa-mke-wa-mtu-nairobi

Watu kimya hata kuchangia hawataki, hapo kila mtu anajiuliza "AM I THE NEXT?"
Tumekaa kimya kwa kuwa jamaa aliyeshikwa ni mzembe, unafikiri huo uchawi unampata mtu aliyekula Kitimoto...thubutuuuu. Dada ukilaki-Noah hilo zindiko halifui dafu.
 
Watu kimya hata kuchangia hawataki, hapo kila mtu anajiuliza "AM I THE NEXT?"

Tumekaa kimya sabubu hii issue na hii video ni miezi mi5 iliyopita...ilishapostiwa humu, ilishajadiliwa, 5 months later inaletwa tena humu!
 
duh, mambo mengine bana! halafu jamaa baada ya kunasua kitendea kazi chache hakuamini kama ni kweli. macho yakamtoa pima ile mbaya!
 
Huu uzi ni wazamani sana ila pia ukirudiwa ni vema ili kutuasa kuwa hawa mambo ya tunguli yapo!!! Kuna mmoja mitaa ya Dar Babu alijiolea kabinti kake halafu kidume kimoja kikawa kinamendea!!! Babu akakikanya tena kwa kutuma wazee wa mtaa ule buta hakusikia!!! Siku kidume kimekula mzigo kikamaliza basi kurudi makwao akasikia mkojo, toba basi anakamua mkojoa vinatoka vidagaa tena vikitanguliza mkia ili ukatike zaidi na ile miiba!!! Ilikuwa pata shika ngoma kupasuka!! Wazee wa mujini usisogelee kabinti kake!!! a.k.a mke mdogo!
 
Aliua wangapi wakati maziwa yapo. Angekuwa sumu watu wangeendelea kupeta kitaaani...

hahahahahahahahahaha wewe umekimbilia sehemu inayopendwa na watoto but kuna ile inayopendwa na watoto wakubwa inaua ndugu mwenye mali hakikufahamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom