Pharaoh
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 843
- 157
- Thread starter
- #21
wajitenge ili wafe na njaa! ila watakula pweza
Mkuu, majuto mjukuu. hawa kwa njaa wataleta magaidi, na hapo mtu anaweza kuja hata kwa kuogelea, pia watatusumbua kwa uharamia na ujambazi wa kuja na kurudi usiku, Nyerere hakumfukuza Sultani bure, na kwanini aliwatumia wageni wawili kumtimua Sultani, Karume wa Malawi na John wa Uganda aliyeongoza mapigano akiwa na kundi kubwa na wanyamwezi na wamakonde waliopo zanzibar mpaka leo.