Nyerere rudi umchape mtu viboko

Sir Tham

New Member
Jun 3, 2012
4
0
Baba wa taifa Mwalim Nyerere tungekuwa na uwezo wa kukuomba urudi walau masaa 2 ujionee nchi hii inavoendeshwa, rithishana madaraka, ulaji wa national cake hakika tunauhakika huyu wa sasa ungemchapa viboko hadharani. Huyu mtu anasemwa kila sehem ila kakaa kimya kama hayupo kabisa. NJOO UMCHAPE VIBOKO AU LAA WAJUKUU ZETU WATAYACHAPA VIKOBO MAKABURI YETU WAZAZI WAO

  • :juggle:
 
Back
Top Bottom