Nyerere na Matatizo

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,940
3,041
"NDUGU wana CCM:Viongozi wabovu wenye mioyo ya kuku,hulizwa na matatizo;bali watu (viongozi)mathubuti, wenye mioyo thabiti,hukomazwa nayo .........hatima ya Nchi yetu ni jukumu letu.Kwa pamoja tunaweza kuisaidia Nchi yetu kusonga mbele kuelekea kwenye haki zaidi na usawa zaidi kwa Watanzania wote".JK Nyerere 22/10/1987(Mkutano Mkuu wa Tatu wa Taifa CCM) Source Raia Mwema-18-24 -Mei 2011.
Nimeipenda naamini inafikisha ujumbe moja kwa moja.(Mhe.Pinda upo!)
Somo kwa viongozi waliopo na wajao.
 
Back
Top Bottom