Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete nani mkali wa English?

Status
Not open for further replies.

togo

Member
Nov 8, 2010
40
1
jamani sisi wengine tumezaliwa enzi za mkapa hatukuwahi kupata bahati ya kusikia hotuba za kiiingereza za mwinyi wala nyerere,ningependa kujua kati ya hao wanne nani ni mkali wa kucheza na lugha namaanisha kiingereza,majina yafuate mtiririko
 
unabahati mbaya ya kutosikia nyerere au mkapa katika hutuba za kiingereza.watu hawa wana uwezo mkubwa wa kizungu na mtiririko wa semi za kitaalam.nyerere ni zaidi kwa akili pamoja ufahamu wa mambo ya ulimwengu.kikwete ndiye wa mwisho kwa ufahamu na uwezo hata wa kusoma hata gazeti!hana sifa yoyote ya kitalaam zaidi ya usanii na ushirikina.

hana busara hata akili ya kujua jana bunge na mahakama ilifanya nini yeye kama rais.amebaki kama mwana sesere juu ya kochi akisubiri rweyemamu amwambie cha kusema.kwa hali hii nadhani hata jina la mkewe ana muuliza huyo al sahaf wake!
 
kwa nini usiseme nani mkali wa kiswahili? kweli watumwa bado wapo wengi nchi hii!
 
Du!!
 
chuki binafsi!
 
Kuna mikanda mingi tu kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete. Cha msingi establish your own indicators to measure someone's proficiency in a certain language. Ukiangalia hiyo mikanda/DVDs/VCDs utaona ni nani kati ya hao akiongea anaongea na mikono, kichwa, miguu kucehza cheza, hoja hamna etc. Yaani lugha hamna kitu na kichwani hamna kitu! Vuru vuruuuuuuu!
 
jamani sisi wengine tumezaliwa enzi za mkapa hatukuwahi kupata bahati ya kusikia hotuba za kiiingereza za mwinyi wala nyerere,ningependa kujua kati ya hao wanne nani ni mkali wa kucheza na lugha namaanisha kiingereza,majina yafuate mtiririko

Inauma sana kumtukana mtu bila kosa, najaribu kufikiria kwenye hiyo orodha lingekuwepo jina langu ningekutaka unitake radhi kwasababu huwezi kumfananisha Mtu mwenye akili zake timamu na Kikweete.
 
kwa nini usiseme nani mkali wa kiswahili? kweli watumwa bado wapo wengi nchi hii!

That is better walau mkuu unaonoesha kukijali Kiswahili, maswali mengine yanaonesha dosari zetu watanzania. Kama ni kuuliza swali ningeuliza nani ana akili zaidi au nani ni mzalendo zaidi.

Sijawahi kusikia kiongozi wa Uingereza akitoa hotuba kwa lugha isiyoyake na akajidai, nimewahi kumsikia Blair akiongea Kifaransa na Bush akijaribu kuongea Espanol lakini hawakujitapa, sisi kalagabaho..........
 
Mimi ningetarajia kuona great thinkers wanajadili uwezo wa kuchambua mambo, badala ya uwezo wa kuongea kiingereza. Nina wasiwasi, hata aliyeanzisha mada hii, akikaa na porter toka wingereza ambaye hakusoma hata sekondari atamuona bonge la mtaalamu kuliko yeye mwenye shahada!

Kiingereza ni lugha tu kama Kinyamwezi, Kigogo, Kirusi, Kijerumani...... tofauti ni kwamba inatumiwa na watu wengi zaidi kimataifa. Hata hivyo, Mandarin ndio lugha inayoongewa na watu wengi zaidi duniani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom